mosiria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa Eastleigh wageuka jukwaa la Mosiria kung’ara baada ya kufutwa kazi na Gavana Sakaja wa Nairobi

    Tukio la kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, limeibua mjadala mwingine baada ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Ushirikishwaji wa Umma, Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja katika Kaunti ya Nairobi, Geoffrey Mosiria kufika eneo la mkasa na kupokelewa...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mosiria atimuliwa City Hall siku chache baada ya kutangaza kuwania Ugavana wa Nairobi 2027

    Serikali ya Kaunti ya Nairobi imeondoa Geoffrey Mosiria katika nafasi yake ya Chief Officer anayesimamia Public Participation, Citizen Engagement and Customer Service, katika mabadiliko yanayokuja wakati ambapo tayari ametangaza nia ya kuwania ugavana wa Nairobi katika uchaguzi mkuu wa 2027...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…