Kwa miaka kadhaa Sasa ufaulu unaongezeka tu; darasa la nne, la saba, kidato Cha pili, kidato Cha nne Hadi kidato Cha sita ni mwendo wa kufurahia ongezeko tu la ufaulu.
Watu wanapiga kazi mpaka shule za serikali Sasa kukuta div I 200, kama Lindi sec, ni jambo la kawaida.
Ajabu ni kuwa hakuna...
Tumeshuhudia timu kubwa barani Afrika kama Al ahly, Wydad AC nk. zikiwatoza faini wachezaji wake na wengine kunyimwa mishahara pindi wanapofanya vibaya hususan katika michezo ambayo ilikuwa ndani ya uwezo wao. Mfano baada ya CR Belouizdad kupoteza kwa mabao 4 - 0 dhidi ya Yanga, wachezaji wote...
Mwalimu Yesu aliwahi kusema, Wana wa giza wanamaarifa katika Mambo Yao. Na sisi watu wa rohoni tusiwe wajinga kwenye Mambo ya rohoni.
Hawa jamaa wao huwa wanaanza Kula stare he na kukesha siku Tatu mfululizo. Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Huwa nawafuatilia wako siriasi Sana na ratiba ya...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini.
Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati...
Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa!
Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo!
Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
Haya ndiyo maisha haijalishi ni mambo gani unapitia, lakini fanya jambo moja kuwa hai, kwamba haya ndiyo maisha.
Nimewaza sehemu niliyopo sasa, na pia nikafikiria niliko toka, nikashika tama, ama kweli haya ndiyo maisha.
Ni mambo mangapi nilitamani huko nyuma, sikuweza kupata? Nilidhani...
Motisha kwa wafanyakazi ni kitu kinachowafanya wafanyakazi kuwa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi. Motisha inaweza kuwa katika malipo, au kutambulika katika mchango walio nao.
Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa wafanyakazi kupewa motisha ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji...
Kutokana na vilabu kusheheni wachezaji wa kigeni, nashauri motisha ya rais itolewe kwa timu zetu za taifa zikiwemo ile ya mabinti iliyofanya vizuri sana kwenye mashindano ya soka la kimataifa na wanamichezo wanaoenda kuwakilisha nchi kwenye mashindano ya olympiki ili wajitahidi kupata medali...
Kuna wakati mmoja katika kijiji kimoja, kulikuwa na bwana mmoja tajiri sana. Aliishi katika nyumba kubwa, alikuwa na magari mengi na alikuwa na kila kitu alichotaka. Lakini, hakuwa na furaha. Alikuwa na watoto wawili na mke, lakini hakuwa na muda wa kuwasiliana nao na kushirikiana nao kwa sababu...
Chakula cha mchana makazini kina siri kubwa katika kuleta ufanisi. Wakati wa Ukoloni mashirika mengi ya watu binafsi yalitoa chakula cha mchana kwa wafanyakazi. Kwakua ubaguzi wakati ule ulikua ni wa wazi Wazungu ambao walikua ni wachache wenye nafasi za juu walitaarishiwa milo mizuri na kwa...
Tafadhali Rais wangu Mpendwa Samia Suluhu Hassan kamwe usikubali Kuingizwa katika huu Mtego wa Kukutana na Wazee Njaa na Wazee Majungu wa Yanga SC kwani watakuharibia, hutoamini na inaweza hata Kuathiri Ndoto zako za kuwa Rais mwaka 2025 hasa katika Sanduku la Kupiga Kura.
Na kibaya zaidi...
Sioni faida yoyote ya mtu kuzikwa na vium=ngo ambavyo kuna watu wanavitafuta kwa udi na uvumba ili kutibu matatizo yao.
Sote tunajiuonea, uhaba wa viungo umefanya kuwepo kwa soko haramu kwa mfano makundi ya kigaidi kama Boko Haram hukamat watu na kuwanyofa viungo na kuviuza kwa bei ili...
Ushawishi, motisha ndo mambo ambayo yanainua hali na matamanio ya mtoto kusoma na mzazi kusomesha.
Wanasiasa na serikali Elimu mnaepeleka wapi kama mambo haya mnayafanya nyinyi,
Ajira za Ualimu mnapendelea kuajiri certificate zaidi kuliko ngazi za degree.
Matangazo ya ajira za maafsa...
Mimi sio mchumi wala mbobezi wa tabia za binadamu. Natoa ushauri kama lay person.
Toka TRA ianze kufanya kazi mnamo Julai 1, 1996 kumefanywa maboresho madogo sana ya upande wa kuzitambua tabia za walipa kodi. Ni kweli kwamba duniani kote wafanyabiashara wengi hawapendi kulipa kodi, na kuna nchi...
Habari za leo Ndugu zanguni.
Natumaini wote wazima kabisa wa afya na buheri. Leo katika mada yetu tungependa kupata wasaa moja mbili kutoka kwa wahusika wa humu walio tayari na experience katika Biashara yeyote ile.
Ningependa tushare shuhuda mbalimbali walizokutana nazo pindi mnaanza kufungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.