Haya ndiyo maisha haijalishi ni mambo gani unapitia, lakini fanya jambo moja kuwa hai, kwamba haya ndiyo maisha.
Nimewaza sehemu niliyopo sasa, na pia nikafikiria niliko toka, nikashika tama, ama kweli haya ndiyo maisha.
Ni mambo mangapi nilitamani huko nyuma, sikuweza kupata? Nilidhani...