moto shinyanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kahama: Moto mkubwa umewaka na kuteketeza baadhi ya maduka eneo la Cool Brizzy usiku huu

    Wakuu, Moto mkubwa umewaka eneo la Cool Breezy barabara ya mataa ya kupanda jirani na kituo cha Mafuta petrol Africa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga na kuteketeza baadhi ya maduka leo majira ya saa tatu Usiku. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…