McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Moto mkubwa umewaka eneo la Cool Breezy barabara ya mataa ya kupanda jirani na kituo cha Mafuta petrol Africa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga na kuteketeza baadhi ya maduka leo majira ya saa tatu Usiku.
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii.