Real Madrid wanatarajiwa kumrejesha kocha wao wa zamani José Mourinho baada ya zaidi ya muongo mmoja. Inadaiwa kuwa “deal” hiyo imekamilika, huku ikielezwa kuwa Mourinho alikuwa na nia ya muda mrefu ya kurejea Bernabéu, na sasa kila kitu kipo tayari kusubiri idhini ya mwisho ya timu za kisheria...