Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Real Madrid wanatarajiwa kumrejesha kocha wao wa zamani José Mourinho baada ya zaidi ya muongo mmoja. Inadaiwa kuwa “deal” hiyo imekamilika, huku ikielezwa kuwa Mourinho alikuwa na nia ya muda mrefu ya kurejea Bernabéu, na sasa kila kitu kipo tayari kusubiri idhini ya mwisho ya timu za kisheria za pande zote mbili.
Mourinho yuko tayari kuondoka katika klabu ya Benfica na kuanza safari ya kurejea Madrid katika siku chache zijazo. Kocha huyo “Special One” amefurahia fursa hiyo na anatarajiwa kujiunga rasmi na Real Madrid mara baada ya kukamilika kwa taratibu za mwisho za uhamisho huo.