JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,403
- 11,912
Kwamba yeye hayuko kwenye game?Aelewe kuwa mpira umebadilika,
Mbinu zake za kizamani aachane nazo
Kwamba yeye hayuko kwenye game?Aelewe kuwa mpira umebadilika,
Mbinu zake za kizamani aachane nazo
Kwa kweliAelewe kuwa mpira umebadilika,
Mbinu zake za kizamani aachane nazo
Masupastaa wajipange. Mwamba huwa hadekezi wauza sura. Ukifanya kazi atakukubali. Ukimletea ujuaji na kuuza sura kwingi, anakutupa kwenye hii kitu 🚮
Laana inaendelea kuwatafuna Madrid kwa walichomfanyia Carlo. wataendelea kubadilisha makocha tu
Kwa wanaoijua Real Madrid watakwambia Don Carlo alibahatika kuikuta Real Madrid iliyotengenezwa ba Jose Mourinho. Bernabeu kulikuwa na majina makubwa kama Raul Gonzalez, Figo, R9, David Beckham, Roberto Carlos na wengineo lakini bado walistrugle. Miaka ile mimi nilikuwa naishi Ciudad de Madrid. Lakini fiesta zilianza tena Bernabeu baada ya Mourinho kutoka Italy kuja pale.
Alibadilisha mfumo mzima wa mpira pale na Real Madrid ikawa moto. Ndoo zote walizobeba Don Carlo na Zidane, Jose Mourinho apewe maua yake. Aliamua kuondoka kwa kiburi chake tu lakini alitawa akae kuenjoy matunda ya kazi yake. Madridista wote tuko happy anarudi
Mourinho ni muasisi wa kupack bus kama akiona timu pinzani ni kali kuliko yake! Real madrid aliwaliza akiwa na kitimu kidogo cha benfica! Almanusura wasiingie hatua ya mtoano champions league!
Ana uwezo wa kukupa matokeo hata kama timu yake si kali kivile! Wakati akiwa Inter Milan, alliteration sana Barcelona iliyokuwa moto wa kuotea mbali na akabeba ndoo!!
Pep alikuwa anafaa sana kuinoa RealMadrid
Ukiona Real Madrid wamemgeukia Mourinho ujue ukame wa vikombe umewachosha!
Pep abadani hawezi fundisha Madrid hata iwejee. LolPep alikuwa anafaa sana kuinoa RealMadrid
TAKATAKA
watu wazima tuseleteane mambo ya kitoto.
Unakuwaga na umama sana
Jose aliletwa Madrid kuja kubeba makombe au kutengenezea watu njia?
Ukiona Real Madrid wamemgeukia Mourinho ujue ukame wa vikombe umewachosha!
Patupu kivipi!? Maana kama ni nyumbani juzi tu wametia kibindoni ndoo zote mbili za nyumbani kama ambavyo imekuwa kawaida yao kwa miaka mingi.bayern wanakwenda patupu na Kampany
Patupu kivipi!? Maana kama ni nyumbani juzi tu wametia kibindoni ndoo zote mbili za nyumbani kama ambavyo imekuwa kawaida yao kwa miaka mingi.
Kama ni Ulaya hata Madrid hana chake Ulaya na sio Ulaya peke yake hata nyumbani hana chake, kwani mahasimu wake Barcelona ndio watawala sasa. Tena sio mara moja.
Haya sasa elezea hiyo patupu yako ni ipi!?