JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Kwamba Mourinho atawapa UCL trophy Madrid!? Ila hata alipokuwapo hapo Mara ya Kwanza hakuweza kuwapa hilo taji! Uhakika wa kuwapa taji hilo awamu hii unautoa wapi!?hata wewe unaweza beba kombe la Bundesliga na Bayern, kipimo cha kocha Buyern kipo kwenye champion league