Unakutana na mtu, wewe tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda.
Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke analala naye na kuamka naye. Mwingine muda wote kalewa chakali wa kubeba na tolori + kujikojolea...