moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. Gama

    Watafiti wameabainisha kuwa unywaji wa sharubati ya beet root unaimarisha afya ya moyo

    Watafiti wameabainisha kuwa unywaji wa sharubati ya beet root unaimarisha afya ya moyo. Zao hili linastawi sana hapa Tanzania lakini si zao maarufu kwa walaji. FUATILIA HAPA Beetroot juice may aid people with coronary heart disease – study Andrew Gregory Health editor A daily glass of...
  2. S

    Ukitaka kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye

    Mbinu ya kivita nawapa ukitala kuuteka moyo wa single mother mpende mwanaye kuliko yeye
  3. Magheahealthcare

    Matibabu ya magonjwa ya mfumo wa uzazi, kisukari, moyo, mifupa, na mmengonyo wa chakula

    Magheahealthcare Dar es Salaam Ilala. Cantact +255 678 211 747 WhatsApp +256 733 482 038 Call/Massage
  4. DR HAYA LAND

    Wakuu Kudate na namba A inahitaj sana Moyo Jana niliombwa Elfu tatu

    Katika harakati zangu za kuuza Ubuyu GHAFLA nikaomba namba ya Dada mmoja hivi she has 24 years na Ni single Mother. Mtoto wake amemtupia Mama yake huku yeye akipanga Chumba Maeneo ya Gongo la Mboto. To be honest Ilikuwa Ni usiku nilivyomuona I was very interested with her Na ndipo nikaomba...
  5. JanguKamaJangu

    Daktari: Watumiaji wa dawa kuzuia hedhi hatarini kupata magonjwa ya MOYO

    Wataalam wa afya wametoa angalizo kwa wanawake wanaotumia dawa za kuzuia hedhi bila kuzingatia ushauri wa daktari kuwa wako hatarini kupata madhara, yakiwamo maradhi ya moyo. Daktari wa Magonjwa ya Kinamama Hospitali ya Rufani Mkoa wa Njombe, Shomari Masenga ametaja dawa hizo kuwa zimegawanyika...
  6. DR HAYA LAND

    Kumbe ndo maana Moyo wangu ulikuwa unasita kununua gari

    Kwa hizi gharama za Mafuta hii gari used namba A Mark two lazima nisingetoboa . Hakika niliona Mbali. Mungu Ni Mwema hi hela naongezea mtaji sitaki tena gari.
  7. L

    Uzalendo na moyo wa kuchapa kazi ndio sifa kubwa ya vijana wa China

    Wakati wachina wanaadhimisha siku ya taifa ya vijana, vijana kutoka nchi za Afrika ambao wamekuwa wakiishi China na kufanya kazi pamoja nao, wamekuwa wakitoa maoni mbalimbali kuhusu wanavyowaona wenzao wachina. Maoni ya vijana wengi kutoka Afrika kuhusu vijana wa China yanafanana, na karibu kila...
  8. KENZY

    Kama moyo chukua!

    Sasa ni zamu ya moyo wangu,maana figo na mapafu ulishaviteka! Penzi lako ni kama hewa safi ya oxygen, inayopita katika viunga vya mwili na kuupa uhai uliotukuka! Ucheshi na ukarimu wako ni tuzo tosha katika maisha yangu, hata kilio chako kimekuwa ni ngazi ya kukomaa kwa mapenzi yetu! Tone la...
  9. H

    Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni...
  10. H

    Huu wimbo wa fally Ipupa "Eloko oyo" una maana gani?

    Mwenye kujua maana ya Huu wimbo aniambie naupenda Sana
  11. Mwande na Mndewa

    Dkt. Slaa: Nilijiona ndani ya moyo wa Rais Magufuli

    DAKTARI SLAA;NILIJIONA NDANI YA MOYO WA RAIS MAGUFULI. Hayati Rais Magufuli aliwapenda na kuwapigania watu wa hali ya chini,mfano sasa hivi vitu vinapanda bei na gharama ya kupanda bei haimuumizi tajiri bali mlaji wa mwisho,katika walaji wa mwisho kuna matajiri wachache na masikini wengi,ambapo...
  12. Mia saba

    Ulijuaje kuwa moyo wako unahisia za kupenda

    True story Binafsi nilikuwa zaidi ya ngumu ngumu mno yaani bandidu extra nikajuaga hizo seli za kihisia juu ya mapenzi sikuanazo. Siku zikaenda zikasonga niliwaona wazuri na wazuri sana na kukiri kuwa ni wazuri Ila sikuwa na mda nao tena yaani kuhisi kua Kuna upendo wowote juu Yao bas simulizi...
  13. U

    Matrafiki kukaa Barabarani kunasababisha maradhi ya Moyo na msongo wa mawazo kwa Madereva

    Jeshi la Polisi Tanzania Lina utaratibu la kuwapa vitendea kazi trafki yaani askari wa usalama barabarani vikiwemo Mashine ya Risiti na Tochi ya kukamatia waozidi mwendo wa 50 jambo ambalo ni tofauti na nchi za wenzetu ambapo trafiki wao hupewa Silaha, gari na nyenzo nyingine muhimu. Jambo hili...
  14. S

    Polisi na TRA ni Taasisi mbili za Serikali ya Tanzania ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote

    Hapa nchini kwetu Tanzania, kuna taasisi mbili za serikali ambazo nazichukia kwa moyo wangu wote. Yaani taasisi hizi zingekuwa ni wanadamu nikaona wanaelekea kutumbukia katika shimo hatari na nisipowatahadharisha watakufa, ningekaa kimya ili wapotelee mbali. 1. Jeshi la Polisi Tanzania 2...
  15. Kifaru86

    Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

    Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuli anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano...
  16. T

    Binadamu wa kwanza kupandikizwa moyo wa Nguruwe, afariki Dunia miezi 2 toka apandikiziwe

    Mwezi January iliyokea mafanikio makubwa ya kimatibabu baada ya madaktari wa Marekani kufanikiwa kupandikiza moyo wa nguruwe ulioboreshwa (Genetically modified heart) kwa binadamu na kuleta matumaini makubwa kwa mahitaji ya kiungo hicho muhimu. Miezi 2 baadae, yaani leo, binadamu wa kwanza...
  17. S

    Prof. Jonathan: Rais wa Ukraine katenda makosa ya jinai dhidi ya binadamu

    Profesa Jonathan Moyo wa Zimbabwe kamlaumu rais wa Ukraine, Comedian Zelensky, kufanya makosa ya jinai dhidi ya binadamu kwa kuwaingiza raia kupambana na russia, super power, na kuwatumia raia hao kama ngao vitani. Profesa Jonathan anasema nchi ya Ukraine ilijificha kwenye kivuli cha 'raia...
  18. GENTAMYCINE

    Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

    Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
  19. Akabi kemanya

    Moyo mpweke

    Mimi ni kijana umri wangu 35 dini Rc nipo mwanza natafta rafiki wa kike mwenye Nia na malengo ya kuolewa awe mchamungu mwenye chura japo kidogo itapendenza asinipende sana mimi ila aipende ndoa yake na awe tayari kuilinda kwa ghalama yoyote, aliye tayari aje nbox
  20. T

    Uchezaji wa kamari chanzo kikubwa cha shinikizo na mashambulizi ya moyo

    Ahlan wa sahlan Nikiwa kama Ex-mkamaria kuanzia sasa, ninelifanyia uchunguzi suala hili na kugundua kuwa Kamari ni jambo linaloweza kumpelekea mchezaji kupata shambulizi la moyo la ghafla. Kwa mchezaji kamari yoyote naomba ajiangalie hali yake ya mapigo ya moyo pindi anapobeti mpaka pale...
Back
Top Bottom