moyo

  1. C

    Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

    Hali (situations) zinaniambia nimekwishafeli, naona km situations zinanipa both public and private insults. Real insults and I have no power to argue. Nimebaki nainamisha kichwa chini tu na kusikilizia jinsi hali inavyouma. Mambo yanakwama mbele ya uso wangu, mbele ya macho yangu naona...
  2. OSAM

    Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    Wadau hivi majuzi nilishikwa na kama kichomi fulani hapa juu ya tumbo yani katikati ya tumbo na kifua sikulala kabisa usiku wake. Sikuwahi kutokewa na hali hii hiyo ndiyo ilikua mara ya kwanza. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kwa sababu nilikua na safari ya muhimu sana. Nilijaribu...
  3. kedekede

    Nimeambiwa moyo wangu umetanuka

    Salaam Doctors, na wana JF. Niende kwenye tatizo. Mnamo tarehe 31/12/2019 nikiwa kwenye kikao cha management chenye idadi ya watu sita pamoja na Mimi, kikao ambacho huwa kinakuwepo kila siku asubui saa mbili na mbali na mambo mengi kila mtu kuzungumzia idara yake kama manager ilipofika zamu...
  4. Miss Zomboko

    Fahamu kuhusu betri zinazowekwa kwenye moyo ili kuwasaidia wenye matatizo ya moyo kusukuma damu mwilini

    Betri ya moyo ambayo kitabibu huitwa ‘pacemaker’ ni miongoni mwa vifaa ambavyo vimebuniwa ili kumsaidia mtu ambaye moyo wake unashindwa kuzalisha umeme wa kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili. Taarifa zilizopo zinabainisha kuwa, binadamu wa kwanza kunufaika na tiba hiyo, aliwekewa...
Back
Top Bottom