moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. Profesa ntare nkobe

    Kujitolea ni moyo au ni tabia inayojengwa toka utotoni

    Habari zenu ndugu zangu wa jamii forum..Kuna hila suhala. Kuna watu wana mioyo ya kujitolea katika maishayao hiwe kwenye shida au raha wapo mstari wa mbele ikiwa ni kutoa damu au kuchangia fedha wapo mstari wa mbele bila kujali hali yao ya kipato ikoje je hii tabia wana fundishwa kutoka katika...
  2. Prof Koboko

    Uchaguzi 2020 Hivi kweli CCM mnataka Watanzania wawe na moyo gani kumchagua mgombea wenu?

    Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni. Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu...
  3. beth

    Mkurugenzi wa JKCI, Prof. Janabi asema magonjwa ya moyo yataongezeka kutokana na ukuaji wa uchumi

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi amesema magonjwa ya moyo yataongezeka zaidi kutokana na uchumi kukua kwa sababu maisha yanakuwa rahisi. Prof Janabi ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam, wakati wa utoaji wa huduma za kijamii One stop Jawabu...
  4. A man from Island

    Ukweli Unaonivunja Moyo Kuhusiana na hizi simu

    Habarin Za Muda Huu Wadau Wote Hapa Jukwaani. Direct To The Point; Mimi Ni Mudau Mkubwa Wa Hizi Samsung Phones But Kwa Hili La Users Reviews Zinazotolewa Kwa Simu Hizi Samsung S20 Ultra Na Note 20 Ultra Kuhusiana Na Kuchemka Na Kumaliza Moto Mapema Hasa Kwa Global Version (exynos Chipset), Hili...
  5. The Palm Tree

    VIDEO: Ni mpambano wa Tundu Lissu vs Polisi kuhusu Sheria. I love this guy more than enough!

    The guy is very unique. Kutojua nini amesema kwa siku moja kt kipindi hiki cha kampeni kunanipa taabu sana. Mwisho wa siku ktk fukua fukua yangu nikakutana na video hii. Ni somo la sheria kwa Polisi wetu wanaofanya kazi zao kwa mazoea tu badala ya kufuata Sheria. Huyu jamaa ni mtu anayekufanya...
  6. GENTAMYCINE

    Mwana JamiiForums Mwenzangu asikudanganye Mtu na usivunjike Moyo unaweza ukakimbiwa na kudharauliwa na wengi, ila Mungu 'atakuteulia' tu wa Kukusaidia

    LIPO JAMBO KUBWA SANA LA KUJIFUNZA KWENYE STORY HII. Simulizi ya Maisha ya Kweli: Ronaldinho 'Gaucho' alipokamatwa pamoja na kaka yake Roberto Assis kutokana na kesi ya matumizi ya pasipoti bandia huko nchini Paraguay na kuwekwa kizuizini katika gereza lenye ulinzi mkali la Agrupacion...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Uchaguzi 2020 Sioni dalili za Dkt. Magufuli kushindwa kutetetea kiti chake cha Urais uchaguzi wa Oktoba, nimevunjika moyo kama mtumishi wa umma

    Mimi huwa mara zote napenda kusema ukweli. Niwe kazini, barabarani au nyumbani ukweli ndio ngao yangu. Kwa hakika Mimi sitamchagua Magufuli wala mwana CCM yeyote kwa ngazi yoyote ile katika uchaguzi huu. Ila kwa hali inavyoonekana Magufuli atashinda tena kwa kura za ndio. Hii imesababishwa na...
  8. S

    TANZIA Mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Mzee Hassan Nassor Moyo afariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Hassan Nassor Moyo amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga Mzee Moyo ambaye pia ni Waziri Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa pia Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Zanzibar Inna lillah wainna ilayhi...
  9. M

    Uchaguzi 2020 Lissu umegusa moyo wa watu wa Tarime

    Akiwa huko Tarime, Lissu alielezea namna alivyokwenda Tarime kwa mara ya kwanza mwaka 2003 ambapo alikuta wananchi wengi wamebambikiziwa kesi na wengine kufungwa kifungo hadi cha miaka 30 Jela kwa kupinga kuporwa migodi huko Nyamongo na wengine kuporwa ardhi zao. Huku akiongea kwa kutaja majina...
  10. M

    Zanzibar 2020 Hoja mbili za Membe zawakonga moyo wazanzibari

    Katika mkutano wa mapokezi ya wagombea urais kwa tiketi ya ACT, mheshimiwa Membe alipewa dakika chache tu za kuwasalimia wazanzibari, katika dakika hizo Membe aliongea mambo mawili ambayo yaliwafurahisha sana Wazanzibari nayo ni 1)Mamlaka ya nchi ya Zanzibar ndani ya muungano 2) Kuwarudisha...
  11. A

    Nini kifanyike kukuza uzalendo miongoni mwa Watanzania?

    Wanajamvi, Ili nchi yoyote iweze kiendelea inahitaji wananchi wake wawe na uzalendo. Kwa maoni yenu, nini Kifanyike ili kukuza uzalendo miongoni mwetu sisi raia wa Tanzania?
  12. Chizi Maarifa

    Leo Dunia inasimama Yanga tumelipiza kwa kupiga kwenye chembe ya Moyo

    Kitendo cha Kumchukua Morrison kimetuvuruga sana. Maumivu yake bado mabichi kabisa. Simba mngechukua hata nzima lakini siyo Morrison. Sasa leo hii tunalipiza. Hatutawaacha salama. Tunalipiza sababu kisasi ni Sunna. Tutapiga kwenye chembe ya moyo. SUBIRINI MAMBO YANAKUJA MUDA SI MREFU...
  13. Analogia Malenga

    Utafiti: Bangi husababisha maradhi ya moyo

    Taasisi ya Moyo ya Marekani imetoa tafiti inayoonyesha kuwa uvutaji wowote unaathiri mapafu, mirija ya damu na moyo kwa ujumla Utafiti wa hivi karibuni umeonyesha bidhaa zote za bangi zinazotumika husababisha maradhi ya moyo ikiwemo mshituko wa moyo na kiharusi Tafiti hiyo inatoa tahadhari kwa...
  14. T

    Wataalamu: Bangi sio salama kwa moyo wa binadamu

    Wataalamu na watafiti nchini Marekani wameonya wavuta bangi kua sio salama kwa moyo wako. Chama cha madaktari wa Moyo Marekani wamesema uvutaji bangi sio salama kwa moyo wa binadamu, hivyo kabla hujaanza kuvuta bangi shauriana kwanza na wataalamu wa afya. Weed is not good for your heart...
  15. majoto

    Nakutia moyo: Furahi siku yako ipo na hicho kinachokunyanyasa kitalia siku hiyo

    Mpenzi msomaji, Popote ulipo Duniani Nakusalimu katika nia njema kabisa ya kukutia moyo. Kwa mfano huu! pokea faraja kwa kila gumu unalopitia. Daima kumbuka kwamba tuliumbwa na Mungu na Mungu wetu anatutakia yaliyo mema na yeye hutuandalia njia ya kuondokana na maumivu yoyote tunayotendewa na...
  16. SN.BARRY

    Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  17. H

    Usichague kazi, soma hapa nikutie moyo

    Naomba niwatie moyo wote wanaotafuta kazi bila mafanikio . Wakati nimemaliza degree yangu miaka ya nyuma kidogo, nilikaa kwa muda wa miaka miwili bila kupata kazi, Kila ninapopeleka application siitwi, ila nakumbuka niliitwa katika shirika moja kubwa tu lisilo la kiserikali kwa ajili ya...
  18. jingalao

    Uchaguzi 2020 Vijana wengi wasomi wamepata moyo kugombea kwa sababu ya uimara wa Magufuli

    Mzee Shomari ameniambia kuwa kuna wimbi kubwa la vijana wasomi wakiwemo madaktari,mainjinia n.k ambao wameshawishika kutia nia huku sababu yao kuu ikiwa ni uwanja huru na wenye fursa ndani ya CCM ambao umewekwa na mwenyekiti wetu wa chama. Nawaasa vijana wazalendo kutumia fursa hii adhimu...
  19. M

    Chaguo la moyo wangu 01

    CHAGUO LA MOYO WANGU 18+ - 01 Ilikua ni asubuhi siku ya jumatatu ambapo watu mbalimbali walikua wakiendelea na mihangaiko yao ya kila siku ili kujitafutia riziki katika mji mdogo wa zingawe, kijana mdogo ambae kwa makadirio alionekana kuwa na umri wa miaka 22 aliamka katika kitanda chake baada...
  20. N

    Samehe kutoka ndani ya moyo wako

    Moja ya dhambi zinazowaangusha wengi ni “kutokusamehe”. Na hii inatokana mara nyingi na kutokuelewa nini maana ya msamaha. Ni rahisi kujilazimisha kusamehe lakini kama msamaha haujatoka ndani basi huo sio msamaha. Ili kuelewa vizuri, tuchukue mfano una mtoto mdogo labda wa umri wa miaka 6 hivi...
Back
Top Bottom