moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    Chonde chonde ndugu zanguni naombeni msaada wenu. Nina wakati wa kuhuzunisha moyo

    Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa. Nisiyemfaa, mjinga, bwege na fala. Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na...
  2. Dam55

    Kwako Mpenzi Bite, "nisamehe mpenzi wangu wa moyo"

    Ni miaka 5 sasa tangu tutengane lakini bado nakupenda na nakukumbuka sana. Mapenzi yangu kwako hayajawahi kuisha na kwamwe hayatoisha kwasababu nakupenda kwa dhati toka uvungu wa moyo wangu. Mi ni binadamu na sijakamilika ninamakosa mengi na kweli nimekukosea Sana japo sijawahi kukili mbele...
  3. Liverpool VPN

    Nimenyang'anywa Watoto wangu na moyo unaniuma maana nawataka sanaa

    .... Nyuzi ifutwe .... Moderator
  4. Superbug

    Mama yangu anakohoa sana, inasemekana kuna vikohozi vya moyo. Naomba msaada wa dawa

    Aisee naomba msaada wa dawa gani nimpe mama yangu maana anakohoa Sana Tena kwa muda mrefu huu ni mwaka wa tatu. Ila sio korona maana hamuambukizi mtu na kazi anafanya Kama kawaida ila kwakweli amekohoa muda mrefu mpaka namuonea huruma. Nimejaribu kuulizia Kuna wanaosema ana kikohozi Cha moyo...
  5. Idugunde

    Dkt. Philip Mpango maneno uliyotamka siku unaapishwa yalitoka ndani ya moyo wako? Ulikuwa unawakebehi Watanzania?

    Wahenga wanasema tembea uone. Ndio maana hata mzee Mwinamila alipokuwa hai aliwahi kutunga wimbo akimwambia Mwl Julius Nyerere atembee aone ili ajionee kwa macho yake nchi anayoitawala na watu wake wanaishi kwa namna gani. Nimepafanya kijiziara kidogo suo moto, maana sijapangiwa na mtu. Ila...
  6. yuda75

    Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

    Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi. Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri...
  7. J

    Zanzibar 2020 Maalim Seif asema licha ya kuapishwa madai yao ICC yako pale pale!

    Akihojiwa na Zuhura Yunus wa BBC Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif amesema licha ya ACT Wazalendo kujiunga na SUK bado madai yao ICC yapo pale pale. Maalim Seif amesisitiza kuwa anamwamini Rais Hussein Mwinyi na ana imani naye katika kujenga Zanzibar mpya. Nadhani hizi zitakuwa...
  8. T

    Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo

    NIMERUDIA kuisikiliza Hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mara kadhaa. Hii ni hotuba inaweza kudumu kwa muda mrefu sana kama rejea sahihi ya maamuzi sahihi yaliyowahi kufanywa na CHADEMA, tangu mfumo huu wa vyama vingi uanze. Hotuba ya Mbowe, ni dawa ya kutibu misuli ya moyo katika siasa...
  9. D

    Jirani yangu ana moyo wa kipekee sana, huwa anasomesha wafanyakazi wa ndani (house boy & girl) hadi Chuo Kikuu

    Hakika hapa duniani kuna binadamu wanatabia njema sana! Jirani yangu pamoja na mkewe! Wana maisha ya kawaida kabisa kama yangu ya kipato cha kati! Wakiishiwa hela wananiazima, vivyo nami nawaazima vyao nikiishiwa. Tuna maisha ya kawaida sana! Lakini Jirani Siku zote hapo kwake haishi kupokea...
  10. Rodriquz

    Nimemvunja moyo sana mke wangu, kama una chochote cha kuniambia au kunishauri wewe nishauri tu

    Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho. Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi...
  11. Nzelajape

    Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya Magu, usiwatetee na kuwalinda waalimu wasiokidhi vigezo vya Ualimu Mkuu; unawavunja moyo wanaostahili nafasi hizo

    Nawasalimu wanajukwaa. Bila kupoteza muda, naleta hoja yangu kwa DED MAGU; itokanayo na hotuba yake aliyoitoa majuzi kwenye semina ya mtihani wa darasa la nne kwa waalimu wa shule za msingi. Kati ya mengi uliyoongea, ulimzungumzia pia Mwl. Mary Maganga wa Magu S/Msingi, ukionyesha kuridhishwa...
  12. C

    Kuwa na hofu na mapigo ya moyo kwenda kasi

    Ushauri wakuu ni kwa namna gani naweza epukana na kadhia hii
  13. winnerian

    Bunge la Wananchi wa Tanzania Mtandaoni (BUWATA). Weka hapa hoja yako muhimu iwafikie watawala na kuwagusa mioyo yao migumu

    Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo: Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili uti wa mgongo wetu wa Taifa kutoka "kilimo" na kuwa "biashara-mtandaoni". Vijana wengi sasa...
  14. KENZY

    Moyo unanilazimisha kusema!

    Wewe ni kama hewa mwanana inayopatia mapafu yangu furaha iliyonjema!.. kila neno lako nalikumbuka na isitoshe hata lile cheko lako tamu nalikumbuka pia!. Nahisi Kama nina deni kwako haswa pale picha yako ikinijia usoni ni kama vile inaniambia "Ninayo Siri,Njoo uifunue!". Labda nilikuuzi kwa...
  15. S

    Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

    Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi. Mpk sasa nina miaka 29, lkn kila nikitaka kuingia kwenye ndoa moyo unasita. Kwasabbb tangu nipevuke nimekuwa natongozwa na wanaume (lkn walio...
  16. Prof Koboko

    Uchaguzi 2020 CCM acheni kujipa Moyo, CHADEMA walijiandaa na Uchaguzi muda mrefu. Siri hii hapa...

    Kwa hakika ni WanaCCM wachache sana wanaojua kuwa CHADEMA NI MSINGI lilikua ni zoezi operation ya chama nchi nzima na lilikua na lango la kuhakiki wanachama wake nchi nzima ngazi zote kuanzia msingi, matawi hadi taifa. Zoezi hili lilifanikiwa 100%. CCM wengi hasa viongozi wake hawakujua lolote...
  17. FRANCIS DA DON

    Je, endapo kumbukumbu zako zote zikafyonzwa na kufutika, kisha ukawekewa kumbukumbu za gaidi, nawe utakuwa gaidi? Au moyo utagoma?

    Ni vyema tukaliweka hili sawa, je, mtu yupo kichwani au moyoni? Mfano mtoto mdogo wa miaka 12, mwenye tabia nzuri kama malaika, tukaamua kunyonya memory yake na kuifuta kabisa kichwani kwake, kisha tukamjaza memory za gaidi la katili. Je, huyo mtoto atakuwa yule gaidi kwa kila namna au moyo...
  18. Miss Zomboko

    Taasisi ya Moyo JKCI yatoa tahadhari kutokana na ongezeko kubwa la watu wenye matatizo ya moyo

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ya Dar es Salaam imesema wagonjwa wanaofika kliniki ya hospitali hiyo kwa siku ni 200 hadi 400. Habari zinasema kwamba kwa takwimu hizo tatizo la magonjwa ya moyo nchini ni makubwa. Daktari Bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka JKCI, Dk Samwel Rwehemamu...
  19. V

    Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

    Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya...
  20. yuda75

    Ukweli Unaouma. Kuhonga sio ticket ya kupendwa, wanaume acheni kujipa moyo

    Jamani tuongee ukweli, kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati. Penzi la muda mfupi au la siku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji kuhonga. Hii sio kwa wanaume tu hata wanawake wanaohonga. Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli...
Back
Top Bottom