moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

    Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja. Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ng’ombe wa maskini hazai, hili...
  2. B

    Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

    Wakuu mganga hajigangi, mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauzauza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba. Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita. Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya kunde ila mtoto amekuwa maji ya kunde zaidi ya Mama yake. Hata kama mimi sio msomi wa sayansi kubwa...
  3. Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  4. T

    Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

    Hovyo kabisa! Tuna viongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao! Muda mbona wanao? Hongera mkulima hodari na ingawa haupo"
  5. TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za awali zinaonesha marehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
  6. T

    Tundu Lissu kila nikijilazimisha nimuone wa maana, moyo unagoma tu, simpendi na sipendi awe kiongozi kokote kule!

    Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu, Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu, Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania, Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma...
  7. M

    Mazoezi ni tiba ya moyo, ini na mfumo wa uzazi

    Nilikuwa na dalili za ugonjwa wa Moyo na Ini ambapo dalili hizo zilinianza nikiwa na miaka 42 japo ninaamini haikuwa kwa kiwango kikubwa. Kadiri siku na miaka ilivyoongezeka ndivyo hali hiyo ilivyozidi kuongezeka hadi kufikia kupatwa na mabadiliko mengine ambayo nilikuwa sina hasa la kupunguwa...
  8. Wachangia damu kuokoa maisha ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo

    Afisa Muhamasishaji kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama Kanda ya Mashariki Mary Meshy akimpima kiwango cha damu mwananchi aliyejitokeza kuchangia damu ambayo itatumika kwa watoto watakaofanyiwa upasuaji wa moyo wakati wa kambi maalum ya matibabu itakayofanywa na wataalam wa JKCI kwa...
  9. D

    NEMC wamethubutu kuanza kudhibiti kelele, wasivunjwe moyo na Mamlaka zingine za serikali zenye viongozi wasiotumia busara

    Wale ambao hamukerwi na kelele endelei kunyamaza hivyohivyo! Juzi niliwashauri NEMC kupitia Uzi https://www.jamiiforums.com/threads/hongereni-sana-nemc-kwa-kuanza-udhibiti-kelele-kwenye-bar-lakini-fanyeni-haya-kuboresha-zoezi.2094376/ Kwamba; Walipaswa kuenenda kwa umakini sana kwenye zoezi...
  10. Utafiti: Madhara ya Upweke ni sawa na Kuvuta Sigara 15 kwa siku

    Utafiti uliofanywa na Ofisi ya Mkuu wa Upasuaji kutoka Idara ya Afya na Huduma za Binadamu ya Marekani umeonesha kuwa watu wanaoshi kwa Kujitenga au kukaa kwa Upweke unaotakana na kukosa Furaha wako hatarini kufikia uamuzi wa kujiua kwa 29%. Imeelezwa kuwa kutojichanganya na watu wengine katika...
  11. Kwenye hii nchi ukiwa na Akili timamu utakufa na Ugonjwa wa Moyo.

    Wanaoishi kwa raha kwenye hii nchi ni mazezeta,wapumbavu na wajinga wasiofahamu chochote. Ukitaka uishi bila msongo kwenye hii nchi inakupasa uwe mmoja wapo wa watu wenye utindio wa ubongo,siyo kuishi vizuri tu bali pia utafaidi uzandiki na uzumbukuku wa viongozi na wasio viongozi. Mfano mzuri...
  12. Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

    Hali ya Rais wa nchi ya Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amegua gafla na kukimbizwa Hospital baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa akijindaa kwenda kwenye mahojiano na kituo kimoja wapo cha Television nchini mwao. Uturuki inatarajiwa kufanya uchaguzi May 14, 2023 ambapo Rais wa Uturuki Edogan...
  13. Kijana Hamim asaidiwe amuone Mh. Rais kumshukuru kwa moyo wake wa upendo

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam "Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo uliyokua nayo watu wanakukimbia. Unaenda kufanya nini, watakupiga." Hayo ni maneno ya Hamimu Mustapha Baranyikwa (15), mkazi wa kijiji...
  14. Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama alazwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

    Mkurugenzi wa Msama Promotions na muandaaji wa Matamasha ya Injili nchini ambaye ni mdau mkubwa wa maendeleo ya sanaa Alex Msama amelazwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) akisumbuliwa na maradhi. Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Mkurugenzi huyo amesema siku chache baada ya kumalizika...
  15. Watu 300-350 wanafika hospitali kila siku kwa matatizo ya Moyo, soma jinsi Pombe, Sigara na Mafuta zinavyochangia

    Kutokana na changamoto ya magonjwa ya Moyo ambayo yamekuwa yakisumbua watu wengi hasa miaka ya hivi karibuni, nimezungumza na Dkt. Pedro Pallangyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ya Dar es Salaam ambaye anafafanua kitaalam na katika lugha nyepesi changamoto mbalimbali kuhudu...
  16. usiuamini msemo: wa kutoa ni moyo maana ndo utawapeleka watu wengi motoni,

    yaani asikudanganye mtu eti kutoa ni moyo, hapana, narudia tena hapana, kutoa ni kujilazimisha bila kujilazimisha huwezi kutoa, Mimi nilikuwa na rafiki yangu alikuja akiwa na shida ya simu yake mbovu lakini kwa kipindi kile ilikuwa ni masika kwahiyo isingewezekana yeye kupata simu kwa wakati...
  17. Nilikuwa mdau mkubwa wa Vpn za free internet ila nikasanda, nililazimika nizihame moja kwa moja, kutumia vpn hapa bongo yahitaji moyo

    Off course vpn za kutumia internet bure zina faida zake ikiwemo kuokoa gharama na nikiri niliwahi kuwa mdau lakini kuna kipindi nilichoka aisee, ilibidi nizihame moja kwa moja. -siku yoyote inafungiwa hakuna uhakika itadumu -Hapa bongo hatuna wabunifu wa kubuni mbinu zao kwa vpn ili hata...
  18. Kambi Maalum ya Uchunguzi na Matibabu ya Moyo yafanyika Iringa

    Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Elizabeth Meli akimpima shinikizo la damu mwilini (BP) raia wa Switzerland Lans Sottwals aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa (IRRH) leo kwa ajili ya kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya...
  19. Thamani ya Mwanamke

    Nimerudi tena. Tuwaheshimu, tuwajali, tuwatunze, tuwapende kwa moyo mkunjufu. Wengi wetu tuliolelewa na single mothers huwezi kukuta tunawadharau na kuwakejeli wanawake. Guyz, hawa viumbe wana nafasi ya pekee mno mbinguni. Mungu awabariki wanawake wote.
  20. Moyo wangu umejaa simanzi na uchungu! Nchi inaliwa sana hii

    TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani. Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…