Jamii Forums naomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu Barabara ya Goba Mpakani hadi Tegeta A hapa Dar es Salaam, ni mbovu sana na inatugharimu sisi raia wa kawaida.
Mfano mvua iliyonyesha jana tarehe 5 Mei, 2023 eti imesababisha tubadilishiwe ruti na nauli ipande, je hii ni sawa?
Mwezi uliopita...
Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo:
1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya.
2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
Ndege hiyo ya UAV iliangushwa katika mji wa Raska, karibu na mkoa unaozozaniwa wa Kosovo.
Wanajeshi wa anga wa Serbia wameidungua ndege ya kibiashara isiyo na rubani karibu na mpaka wa Kosovo, serikali ya Belgrade ilitangaza Jumatano. Tukio hilo linakuja siku moja baada ya Rais Aleksandar Vucic...
Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga mkono waasi wa M23.
Msemaji wa serikali ya Rwanda, Alain Mukurarinda amesema kwamba “wakiamua...
ITV wametangaza kuwepo kwa foleni ya malori inayofika kilomita 7 kule Namanga yakisubiri kuingia Kenya
Madereva wamelalamika sana na kusema hawaelewi sababu za msingi
Waziri wa Biashara Namanga kuna tatizo gani?
J5 ubarikiwe sana
====
Zaidi ya Malori 600 ya kusafirisha bidhaa kutoka...
Habari za muda huu wakuu,
Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF
"Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari"
Mwisho wa nukuu
Jamaa wamefukuzia hadi mpakani, wamewehuka, nchi wanaikomboa, wanajitoa mhanga wa kufa afe wa kubaki aendeleze kizazi. Supapawa aliingia cha kike kwenye huu ugomvi maana wanajeshi wake wanapoteana hadi raha.
=================
Avideo of a Ukrainian soldier bragging about how close Ukrainian...
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo jirani
Mji wa Bunagana ulioko kaskazini mashariki mwa Goma, una...
Nimekutana na ujumbe wa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliouchapisha kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii nikaona niulete hapa kama taarifa.
Ameandika:
"Nikiwa safarini kuelekea Mombasa kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha kutoka nchi za...
Ama kweli ni kipi kilicho bora kuliko pesa? Wengine wakisema pesa ni sabuni ya roho.
Hizi si ndiyo chimbuko la tozo? Ndiyo chimbuko la kung'angania madaraka? Chimbuko la wizi wa kura? Chimbuko la kukataa katiba mpya?
Hawa ni wa Ukraine mbona hata kwetu ni hivi hivi?
Hapa mke wa mbunge mmoja...
Kuna Silaha mpya, za aina yake na za Kisayansi kama si za Kiteknolojia zaidi naziona kwa Kikosi cha Marekani na najua zitakuja Kufika na hata kutumika Tanzania labda mwaka wa 5000.
Namheshimu mno Mrusi ila kwa hiki Kiburi ambacho anapewa na Kujazwa na Washirika wake Wakuu Korea Kaskazini na...
Nimeona nije na hili wadau wenzangu, dunia inaelewa malengo na mahitaji ya Russia kwa nchi ya Ukraine yapo wazi sana swali ni kwanini amebaki mpakani???
Sasa takriban mwezi., NATO wamekuwa wa wazi sana na hawapepesi kauli zao ni kwamba wanasubiri Russia waivamie Ukraine ndio na wao lile lengo...
Unyama wa serikali ya awamu ya 5 ulijumuisha hadi wizi wa mifugo ya nchi jirani kwa kisingizio cha kuvuka mpaka.
Mifugo kutoka Rwanda na Uganda ilitaifishwa baada ya kuvuka mpaka na kuingia kwenye mapori ya Tanzania, badala ya kurejeshwa zilikotoka viongozi wa Tanzania wakaamua kuzipora na bila...
Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
Taiwan inasema imeshuhudia ndege 38 zikiingia kwenye eneo lake la ulinzi
2 Oktoba 2021
Uvamizi huo wa Ijumaa uluihusisha ndege za kivita aina ya jet J-16 jets (kama zinavyoonekana kwenye picha hii ya maktaba), Taiwan imesema
Taiwan imeripoti kuwa ndege za kijeshi za Uchina 38 zimepaa na...
Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme.
Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata!
Tufanye nini?
Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo.
Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital.
Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
Wandugu naomba kujuzwa bei ya vitu vya umeme mpakani Tunduma hasa friji maana nasikia kule bei ya vitu hivyo ni rahisi sana kushinda hata Dar nataka nijaribu kujichimbia huko siku za usoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.