mpanda

Mpanda is a city in Katavi Region of Tanzania, East Africa with a postcode number 50100. It is the administrative centre of Katavi Region, Mpanda District and is itself one of the four districts of the region.Mpanda is a "frontier town" in the far west of Tanzania, roughly 500 km north of Mbeya and 380 km south-west of Tabora. It is the administrative headquarters for the Katavi Region, (created by subdivision of the Rukwa Region in 2012), and for the Mpanda District. It is an important centre in the rural economy, especially for the marketing and transshipment of rice and maize. The Katavi region is increasingly of interest to mineral prospectors, especially for gold. It is also a staging point for visiting the beautiful Katavi National Park, with its headquarters just 35 km to the south at Sitalike. The Park has a good cross-section of East African wildlife but is perhaps best known for its populations of hippopotamus.
As yet all roads into Mpanda (from Sumbawanga, Tabora or Kigoma) remain unsealed and may for brief periods become impassable at the height of the wet season (particularly February–March). The Tanzanian government has in progress a project to seal a large part of the road north from Sumbawanga. Sumry operate two daily bus services to Sumbawanga (240 km 5hours), one of those going on to Mbeya. Several bus lines operate to Tabora (380 km, 9 hours). Local services include minibuses to Sitalike, and daily bus services to Usevya and to the fishing villages of Karema and Ikola on Lake Tanganyika. Mpanda is the endpoint of a rail line with passenger services from Tabora (approx 12-15hours). In 2012 the government completed an upgrade of Mpanda airport to a 2 km sealed runway and a commercial air service has commenced.
Mpanda was made the centre of a new Catholic Diocese in October 2000 and boasts a very fine cathedral with magnificent pictorial windows. The town is also the centre for the Anglican Diocese of Lake Rukwa created in June 2010. There is a fine Moravian church and other Christian services are provided by Lutheran, African Inland Church and Tanzania Assemblies of God. Moslem people are well served by several mosques spread through the urban area.

View More On Wikipedia.org
  1. Katavi: Wanawake 15 wamekamatwa Mpanda kwa kufanya biashara ya ngono

    Baraza la Madiwani Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi imeibuliwa hoja ya baadhi ya wamiliki wa nyumba ambao wamekuwa wakipangisha mabinti na Wanawake wanaofanyabiashara haramu ya ngono ambapo imekuwa kero na kinyume cha uvunjifu wa Sheria na Maadili ya jamii. Hamis Misigalo ambaye ni Diwani wa...
  2. Katavi: Mpanda yajipanga kukabiliana na magonjwa ya mlipuko

    Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imejipanga kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ambayo yanaweza kulipuka katika kipindi hiki cha msimu wa mvua. Hayo yamesemwa katika kikao kazi maalumu kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi kikiwa ni sehemu ya kuweka mikakati mahsusi ya...
  3. Zaidi ya heka 6 za Mahindi zimefyekwa Mjini Mpanda

    Wakati Serikali inahamasisha Wananchi kujishughulisha na shughuli za Kilimo ili kujikwamia kimaisha, baadhi ya Wakulima katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamefyekewa Mahindi ikidaiwa ni kosa kupanda mazao marefu mjini. Lucia Balizio ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Msasani na Nestori Kameme...
  4. Mpanda: Machinga waiomba Serikali kuzifuatilia Kampuni za Mikopo

    Wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuzifuatilia taasisi na kampuni za utoaji mikopo kwa Wafanyabiashara kutokana na kuwepo kwa malalamiko ya udanganyifu ikiwa ni pamoja na utoaji mikopo kandamizi. Hayo yamebainishwa na Wafanyabiashara hao katika Baraza...
  5. Mpanda: Wakazi wa Mpanda watakiwa kukithamini Chuo cha VETA Mpanda

    Wakazi na wazawa Mkoa wa Katavi wametakiwa kuwasomesha vijana wao katika chuo cha Ufundi Stadi VETA Mpanda ili mkoa upate wataalamu watakaochochea shughuli za kiuchumi katika mkoa huo. Maoni hayo yametolewa na Frank Atanas na Jesca Wambali ambao ni baadhi ya wazawa wa Katavi ambao wameiasa...
  6. Mpanda: Wananchi waondokana na adhaa ya maji ya visima

    Wananchi wa Mtaa wa Tulieni iliyoko Kata ya Nsemulwa, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamesogezewa huduma ya maji safi mara baada ya mradi wa kutanua mtandao wa maji safi kukamilika katika mtaa huo. Hadija Kunja na Saidi Ramadhani ni wananchi wa mtaa huo wamesema kwa muda mrefu Wananchi wa...
  7. Mpanda: Wananchi wakerwa kutogawiwa mashamba mapema

    Wakazi wa Vijiji vya Matandalani na Mtisi vilivyopo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamekerwa kwa kucheleweshwa kugawiwa mashamba mapema ambapo wamekuwa wakiahidiwa na Ofisi ya Ardhi kwa lengo la kutekeleza zoezi hilo lakini utekelezaji unasuasua ambapo maeneo hayo yalirejeshwa kwa Wananchi...
  8. Mpanda: Wakulima waomba kuongezewa eneo la kulima

    Wakazi wa Kijiji cha Kiloleni, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuongezewa eneo la kufanyiwa shughuli za kilimo na makazi. Hayo yamejiri wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kiloleni ambapo Wananchi wa maeneo hayo walitii wito wa kutoka katika...
  9. Mbunge Aloyce Kwezi: Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 Serikali Ijenge Barabara ya Mpanda - Kaliua - Kahama

    MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
  10. DC Mpanda awataka Wananchi wanaoishi maeneo ya Hifadhi ya Misitu kuondoka

    Baadhi ya Wakazi Kijiji cha Kimani, Kata ya Ugala Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wametoa malalamiko yao ambayo yanawataka kuhama katika eneo wanaloishi. Grace Julius na Simon Daluso wametoa malalamiko katika mkutano wa hadhara mbele ya Mkuu wa Wilaya ambapo wamesema wamekuwa wakiambiwa...
  11. Wafanyabiashara Mpanda walalamikia Jeshi la Polisi jinsi linavyoendesha Oparesheni zake

    Baadhi ya Wafanyabiashara katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelilalamikia Jeshi la Polisi kwa namna linavyoendesha oparesheni zake za kusaka waharifu ambapo katika siku za hivi karibuni baadhi ya Wananchi wamekuwa wakipigwa na jeshi hilo hasa katika nyakati za jioni na kuleta hofu kwa...
  12. Mahari Tsh. 2,500,000/-! Niacheni ninunue shamba la kulima mpunga huko Mpanda

    Wakuu, juzi nimekwenda kuchumbia huko Kanda ya Ziwa, nikaambiwa mahari nitoe milioni mbili na nusu na bado kuna makorokoro mengine huenda ikafika hata milioni 3. Umri wangu kwa sasa ni miaka 46, nimeamua tu hii pesa nikanunue eneo huko Mpanda Katavi nilime mpunga, nadhani ndani ya miaka yangu...
  13. Nilivyonusurika na Mauti pale Hospitali ya Mpanda

    Haya yalinitokea mimi mwenyewe. Namshukuru Mungu kwa kunipigania na kuniokoa kwenye Mauti. Ilikuwa tarehe kama ya leo mwaka 2015, siku mbili kabla nilikuwa na rafiki zangu. Tukaenda sehemu moja ya kupumzika pale karibu na stendi ya zamani ya mabasi Mpanda Mjini. Tuliagiza na kula nyama choma...
  14. Mpanda: Aliyeporwa udiwani amwaga machozi mbele ya Mbowe

    Katika ziara ya Chadema (Operation +255) huko mpanda, Kuna tukio limeniacha na majonzi sana. Mgombea udiwani wa Chadema 2020, mwanamama shupavu alimwaga chozi akikumbuka ukatili wa JPM. Mgombea huyu aliwekewa pingamizi so hakufanya kampeni muda mrefu, kama haitoshi aliposhinda udiwani (Fomu za...
  15. Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  16. Serikali Kukamilisha Barabara kwa Kiwango cha Lami Mpanda, Uvinza na Inyonga katika Mwaka wa Fedha 2023-2024

    SERIKALI KUKAMILISHA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI MPANDA, UVINZA NA INYONGA KATIKA MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Atupele Mwakibete amejibu maswali Bungeni jijini Dodoma aliyoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki juu ya ujenzi...
  17. DOKEZO Mpanda hali ni mbaya, Watoto wengi hawaendi shule, wanaingia mtaani kufanyabiashara, Serikali iko wapi?

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
  18. Hivi kwanini Mabasi kutoka Dar kwenda Mpanda, Katavi yanazuiwa kuendelea na safari yakifika Sikonge, Tabora?

    Wadau tumetoka Dar na Bus la HAPPY NATION saa 12 asubuhi na tumefika hapa Sikonge, Tabora Bus limezuiwa kuendelea na safari eti mpaka saa 12 asubuhi, eti kwa sababu njiani kuna mapori makubwa. Kwa maoni yangu hii si sawa kabisa, yaani pamoja na jitihada kubwa za serikali kukamilisha barabara...
  19. Tabora: Rais Samia akifungua barabara ya Tabora, Koga, Mpanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua barabara ya Tabora - Koga - Mpanda (km 342.9) Sikonge, Mkoani Tabora leo tarehe 18 Mei, 2022. Rais yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku 3. ====== Rais apewa zawadi ya Ng'ombe Hotuba ya Rais Samia Akifungua...
  20. Nimekumbuka nilichofanya siku kama leo mwaka 2019 katika safari yangu ya Mpanda

    Wadau natumaini mko njema kabisa. Heri ya Jumapili kwenu nyote. Technology ni kitu chema sana acha tu tukipe heshima yake. Leo kwakua nime dodge kwenda kanisani bas nilijikuta ratiba zangu ni za kutafutiza sana kwakua siku zote Jumapili kuanzia saa mbil asubuh mpaka saa Nane mchana huu muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…