mpangaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Daktari W Sindabhalla

    Boxer yangu katika chumba cha mpangaji mwenzangu

    Habari wana JF. Ninaomba ufahamu ili niiokoe ndoa ya watu. Wiki iliyopita nilimtembelea dada yangu anayeishi Dodoma mjini - Chang'ombe Extension. Yeye na MR. wake na watoto 2 wana chumba na sebule. Kwakuwa nilikuwa na majukumu binafsi mbali na kuitembelea familia hii na kutokana na ufinyu...
  2. Aliko Musa

    Jinsi ya kuandaa mkataba kati ya mpangaji na mpangishaji wa nyumba za familia

    Kumbuka kuwa thamani ya nyumba ya biashara inaweza kuathiriwa na muda wa mkataba wa upangishaji wa nyumba husika. Nyumba ya biashara yenye mkataba wa upangishaji wa miaka mingi inakuwa na thamani kubwa ukilinganisha na nyumba ya biashara yenye mkataba wa miezi michache tu. Vilevile jambo hili...
  3. Mr Dudumizi

    Tathmini ya Kisiasa- Mpangaji huyu mbona haeleweki!

    Habari zenu wakuu wenzangu. Kuna huyu mpangaji ambae amekuwa tatizo kubwa kwa mwenye nyumba na wapangaji wenzake. Chanzo ni hivi... baada ya malalamiko mengi kuhusiana na nyumba aliyopanga Zuberi, ikabidi mwenye nyumba aitishe mkutano ili kujadili changamoto zinazoikabili nyumba yake. Katika...
  4. Mzee makoti

    Mpangaji ataifisha nyumba kwa amri ya mahakama/ kesi ya madai

    Wakuu habari, Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio, Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani, Polisi purukushani na Raia, Sasa hiko ivi: KUNA jamaa pale mtongani ana nyumba mbele Ina mafremu ya biashara Kama matatu hivi, Kuna fremu moja...
  5. M

    Mambo yanayoweza kufanya iwe changamoto kupata mpangaji

    ...am editing
  6. Erythrocyte

    Kwamba Serikali ya Tanzania haiwafahamu wenye nyumba kiasi cha kumkata mpangaji kodi ya Majengo ni uongo wa kiwango cha chini sana na ni wizi

    Kodi ya Majengo imelipwa ndani ya nchi hii kwa miaka na miaka , kwa kipindi kirefu ililipwa kwenye Halmashauri na kuwa mapato ya Halmashauri husika ili kusaidia miradi mbali mbali , mimi mwenyewe nina nyumba 2 kwenye halmashauri ya Temeke , nafahamu ninachoandika , Jina langu linafahamika vema...
  7. Swahili_Patriot

    Binti wa mpangaji mwenzetu katembea na kundi letu lote lenye vijana watano

    Tunaishi watu 5, maisha ya kighetogheto. Kuna jirani yetu flani hajielewi kabisaaa, mme wake mwenyewe ni yanki tu kijana n anamzaa kabisa. Shida ilitokea baada ya mwanae kwenda kuhamia kwa mamaake. Alipohamia tu mwenetu mmoja akamuwai fasta kutokana n utimamu wa kumaimbile wa mtoto, hatareee...
  8. Analogia Malenga

    Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

    Waziri wa Fedha na Mipango amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika. Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji anapokuwa amelipa malipo ya mmiliki huwa anawasiliana na mwenye nyumba wake ili arudishiwe hela...
  9. TheDreamer Thebeliever

    Mpangaji amekwenda kushitaki kisa kaibiwa

    Habari wadau! Kuna mpangaji wangu amechukua hatua ya kwenda kushitaki na kuomba muafaka ili arudishiwe kodi yake baada ya wezi kuingia chumbani kwake na kumuibia baada ya kusahau kufunga mlango. Sasa ameomba nimrudishie kodi yake kitu ambacho nilikiweka wazi kwenye mkataba kwamba hakuna pesa...
  10. BLUE BALAA

    Naomba kujuzwa sheria za kumpa mpangaji notice

    Poleni majukumu humu jamvini. Naomba kujua sheria ya kumtoa mpangaji alieshindwa kulipa kodi. Je unatakiwa kumpa notice ya muda gani? Kwasasa hajalipa kodi ya mwezi January na ameingia mwezi wa pili.
  11. N

    Msaada wa kisheria wa nyumba za kupanga kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Habari zenu wakuu. Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia nihame pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuhama, nichukue hatua gani?
  12. Analogia Malenga

    Kenya: Mwenye nyumba amuua mpangaji kwa kumdai takriban Tsh 57,000

    Mwenye nyumba Ngángá Gitau, amemchoma visu mpangaji wake hadi kufa Warren Jirongo (26) baada ya kushindwa kulipa kodi ya mwezi Januari Wakazi wa eneo hilo wamemzonga mwenye nyumba huyo kwa hasira na kuchoma nyumba zake moto baada ya yeye kumuua kijana huyo Kijana huyo ni yatima ambaye alikuwa...
  13. Mimtamu

    Nani anapaswa kumlipa dalali kati ya mwenye nyumba na mpangaji?

    Salam wana jamvi, Hoja yangu ya msingi ni hii, kama vile inavyokuwa madalali wa magari au vitu vingine unakuta mwenye mali anakubaliana na dalali kuhusu malipo yake baada ya kazi. Lakini kwa upande wa nyumba za kupanga ni tofauti, mpangaji ndiye anaumia zaidi. Utakuta nyumba inapangishwa laki...
Back
Top Bottom