mpango

  1. Dkt. Mpango azindua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo

    Alisema miaka ya nyuma baadhi ya maeneo nchini yalikuwa na 'mchwa' katika miradi ya umma, lakini serikali imejizatiti kudhibiti matukio hayo. Dk. Mpango alisema hayo jana wakati akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Rombo na kuagiza ianze kazi Oktoba mosi, mwaka huu. "Ninaamini dawa...
  2. Januari Makamba awajibu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele “Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati...
  3. Chelsea yasitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo, Kocha akataa dili

    Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo. Inadaiwa Chelsea ilikuwa mbioni kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 37 wa Manchester United lakini kwa...
  4. Kwanini Xavier Hernández Creus(42) Hana mpango na Frenchie De Jong?

    Kama heading inavyo Xavier Hernández Creus almaarufu Xavier kiungo mstaafu na kocha wa Barca huyu fundi ni kwanini anaonekana kumchukia fundi Frenchie De Jong! Nikiwa mdau wa mashetani The Red devils nimekuwa nikifuatilia Sana usajili wake Kwa man utd, na wakati yeye anaipenda Barca, kocha...
  5. Je, Rais anao mpango wowote kuhusu ajira kwa vijana au anasubiri kampeni?

    Hili janga la ukosefu wa ajira naona kama linazimwa hivi. Je, kuna mpango wowote wa kutatua? Au tusubirie saundi za kwenye kampeni.
  6. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na Makala zangu elimishi za "Kwa Maslahi ya Taifa", Makala ya leo ni jinsi Rais Samia alivyo ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Rais Samia, Akifanikiwa kwenye hili, atabarikiwa sana na taifa la Tanzania, litabarikiwa! Natoa wito kwa wote...
  7. Makamu wa Rais Dkt. Mpango awasili Rwanda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Jumuiya ya Madola

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoshiriki Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Kigali, Rwanda, Juni 20-25, 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  8. R

    Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA ni mpango wa Kifisadi kama ilivyo mingine, Watanzania tuamke

    Kuna kila Dalili huu uwepo na mpango kuwa na hawa wabunge 19 Bungeni ni mpango wa kifisadi na wahusika ni viongozi wakubwa ikiwepo CHADEMA, kwa namna tu hili suala linavyopelekwa. Kuna fununu kuwa hawa wabunge huchanga pesa kila mwezi na kuweka kwenye akaunti ,Hawa ni watu wazima kila mtu...
  9. S

    Utabiri: Sabaya atafutiwa kesi zake zote, na kisha Mama atasifiwa kwa kuwa msikivu na mpango wa Mama kuonekana ana ubinadamu utakuwa umetimia

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Bongoland na jinsi watawala wa awamu iliyopo wanavyofanya mambo yao, basi utagundua kile kilio cha kina Mama kinaweza kuwa ni tukio la kupangwa ili baadae jambo hilo lifanyiwe kazi na kisha zianze sauti za kusifu na kupongeza pale kijana atapoachiwa huru...
  10. Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

    Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu...
  11. B

    Dkt. Philip Mpango ahudhuria mkutano wa mazingira Sweden

    02 June 2022 Stockholm, Sweden MKUTANO WA MAZINGIRA Video : Global TV online Makamu wa, rais wa Tanzania Mh. Philip Isdor Mpango amehudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 50 ya azimio la umoja wa mataifa la ulinzi wa mazingira ulioasisiwa kwa mara ya mwanzo mwaka 1972. Makamu wa rais amesema...
  12. Licha ya mafuta kushuka bei, LATRA yasema hakuna mpango wa kushusha nauli

    Baada ya bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli kushuka, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema hawana mpango wa kushusha nauli kwa sababu uendeshwaji wa vyombo vya usafiri hautegemei gharama za mafuta pekee. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Gilliard Ngewe amesema gharama za mafuta...
  13. L

    China na Tanzania zasaini mpango mpya wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni

    Serikali za China na Tanzania jana Alhamis zilisaini mpango mpya wa 2022-2025 wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni unaolenga kuimarisha ushirikiano wa pande mbili kwenye nyanja mbalimbali. Kwa mujibu wa ubalozi wa China nchini Tanzania, mpango huo uliosainiwa jijini Dar es Salaam na...
  14. Mwaka jana Serikali ilitangaza kuanza kununua mafuta moja kwa moja toka kwa wazalishaji. Mpango huu umefia wapi na kwanini?

    Tarehe 31 October 2021, waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Arusha alitangaza serikali kuanza kununua mafuta ya petroli na dizeli moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji wa nchi rafiki, kupitia Shirika la Taifa la Mafuta (TPDC),ili kuondokana na changamoto za gharama kubwa za wanunuzi wa kati...
  15. P

    Mama SSH yuko madarakani kwa mpango wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Ester wa Biblia.

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na usawa tofauti na mtangulizi wake. Wote tunatambua kuwa mtangulizi wake (mwendazake) alikuwa...
  16. Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  17. L

    Nina mpango wa kuoa mwishoni mwa mwaka huu ila...

    Nimeweka mikakati yangu ya kutaka kuoa mwaka huu mwezi wa 11 ila tangu nimeweka wazi hili suala wadada wazuri wazuri ndo kama wamefunguliwa machoni mwangu haipiti siku sijakutana na mdada mzuri na nikimsemesha tunaongea vizuri. Mawazo yanaenda kubadilika kabisa hawa wadada sijui walikua wapi...
  18. Makamu wa Rais Mpango amwambia Balozi Polepole kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania Nchini Malawi Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma. Makamu wa Rais amempongeza...
  19. Hayati Magufuli alikuwa na maono juu ya mpango wa Magereza kuwa na shughuli za uzalishaji. DPP ndiye kikwazo

    Wana JF Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali. Kwanini...
  20. B

    Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…