Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemtembelea kumpa Pole Credit Bilali aliyempoteza Mamake Mzazi
Marehemu Safia Abeid Mama Mzazi wa Dkt Mohamed Gharibu Bilali alifariki Januari 3 na kuzikwa Januari 4 Unguja
Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia
Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefiwa na kaka yake Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango. Askofu Gerald Mpango amefariki tarehe 19 Januari 2022 Jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango...
Nauliza hii imekaaje watoto wa baba mmoja ila wamekuwa na imani tofauti japo wote Wakristu?
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Kaka yake, Marehemu Askofu Gerald Mpango
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo.
Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
"Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan
Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo
"Nawaomba tu kuanzia sasa zile...
COMMUNIQUÉ OF THE EXTRAORDINARY SUMMIT OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENT OF THE SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITY (SADC)
1. The Extraordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC), hereafter called Summit, was held in Lilongwe...
Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
Habar wadau
Nitaandika machache tu unajua sisi watanzania tunaishi kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni kama tupo tupo tu ila samahani nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala wanalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikopo sio barabara wala...
Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa.
"Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi.
Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
Leo nimefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ambae amenitembelea katika makazi yangu Osterbay Jijini Dar es Salaam.
So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa.
Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness mmoja aliyekuwa mpiga picha wa Sabaya, alieleza jinsi Mbowe alivyomtafuta ili ajue moves za Sabaya...
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
Ndio hivyo tena, December imeshaingia.
Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu.
Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki.
Ila nasikia WAVE nyingine inakuja/Imefika. Sasa December itakuwaje?
Poa. Fresh Basi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
16 November 2021
Singapore
Naibu waziri mkuu Mh. Heng Swee Keat akiwa na Dr Philip Mpango makamu wa rais wa Tanzania.(Picha kwa hisani ya wizara ya TEHAMA Singapore).
Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Philip Mpango yupo nchini Singapore kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Jukwaa la Majadiliano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.