mpango

  1. Nimefuatilia utendaji kazi wa Rais Samia, PM Majaliwa na VP Mpango, huwezi kuamini awamu ya tano walikuwa wamoja na Hayati Magufuli

    Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao. Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
  2. Makamu wa Rais, Dkt Mpango anasafiri kwenda Singapore leo Novemba 14

    Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo 🗓Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini 🇸🇬Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ), Wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa...
  3. Serikali ya Rais Samia ije na mpango wa kunusuru wasio na kazi

    Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kuhusu ukosefu wa ajira hapa nchini kwa makundi yote yaaani wenye elimu za juu, kati na hata chini ,lakini serikali za awamu zote zijaona kama zimekuja na mpango mkakati juu ya ili kundi ili kulinusuru maana hatua ya sasa hali imekuwa ni mbaya kuliko...
  4. Leo hii Nov 12, 2021 Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha mpango wa kuajili Manesi kutoka Kenya

    Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha mpango huo na kisha kuhoji uhaba wa nurses ktk vituo vya afya vya kenya, ikisema Kenya inahitaji...
  5. T

    Je, CCM ina mpango wowote kutufikisha G20 hatimaye G8?

    Kutokana na shauku kubwa ya maendeleo niliyo nayo na ukizingatia kuwa nchi yetu ina kila mazingira ya kutufanya uchumi wa nchi yetu ukuwe kuliko mataifa mengi, ndipo najiuliza hiki chama tulichokipa dhamana kituongoze kina mpango wowote kutupeleka huko!? Au mpango wao ni kupambana na wapinzani...
  6. Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

    Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ? Tizama...
  7. S

    CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, wataondoka wao wataicha CHADEMA inadunda

    Nyie wanadamu wenye nia ovu ya kutaka kuiua au kuidhoofisha CHADEMA, tambueni CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, na ndio maana mpaka leo kiko imara licha mabavu na hujuma zote zilizodumu kwa miaka zaidi ya kumi sasa. Mungu haturuhusu kiumbe yeyote avuruge hiki chama mpaka pale mpango...
  8. Mpango wa kum-'demonise' Magufuli umeshindwa bila hata ya kuanza, watu wanazidi kumpenda

    Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani. Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na...
  9. Kuna Mpango Unaandaliwa Kutumia Vilabu vya Ligi kuu ili Kuchanja Mashabiki Chanjo ya Corona-19

    Kuna mpango mkakati uko juu unaandaliwa. Mpango huo unahusisha kuvitumia vikamilifu vyama vya michezo mbalimbai nchini hasa Mpira wa miguu ili ku-push idadi ya watu ambao hawaja chanjwa ili wachanjwe. Kutatokea na kikao cha siri baadhi ya watu wale walio simamisha mechi ya simba na yanga na...
  10. J

    Shaka Hamdu Shaka: Puuzeni propaganda za Serikali kusitisha mpango wa elimu bila malipo

    SHAKA: UUZENI PROPAGANDA ZA SERIKALI KUSITISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna ahadi iliyotolewa kwenye ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 ambayo haitatekelezwa ikiwemo mpango wa elimu bila malipo na utatuzi...
  11. SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Hello ,Mimi ni daktari mafunzoni ,karibu katika uzi wangu. Punde tu baada ya wapenzi wawili kukutana kimwili wengi wazo la kwanza kuja kichwani ikiwa hawajapanga kuwa na mtoto huwa ni P2(morning after pill),haijalishi wanakutana mara ngapi,kila wakutanapo ni P2 tu. Hivi hizi ni kanakwamba...
  12. Hii kauli ya Makamu wa Rais ina maana gani?

  13. Je, Waafrika uzazi wa mpango ni sahihi kwetu? Kama ndio/hapana kwanini?

    Magonjwa, ufukara, ujinga, wingi wa rasilimali tulizonazo, uhaba wa nguvu kazi, ukubwa wa ardhi, teknolojia duni. Tujikite zaidi kwenye haya. Tuna Corona, wataalam wewe hawezi hata kutengeneza chanjo ya kuzuia tauni ugonjwa uenezwao na panya
  14. K

    Philip Isdor Mpango: Tunaomba umsaidie Raisi kwenye matumizi ya pesa

    Tusimlaumu Raisi kwenye kila kitu. Hakuna mtu nambaye anajua mambo ya pesa, miradi na jinsi ya kuendesha serikali na gharama zake kuliko Makamu wa Raisi Philip Isdor Mpango. Lakini pamoja na ahadi zake za kupambana na ufisadi hajafanya kazi nzuri kupambana na matumizi mabaya ya serikali...
  15. Rais Samia na Makamu wa Rais Philipo Mpango mtuongoze milele hapa Tanzania

    Rais Wetu Samia Makamu Philipo Mpango mtuongoze Milele hapa Tanzania Hiki ni kibwagizo cha wimbo wa kikundi cha ngoma na uimbaji cha Buyegu , kwenye tamasha la Utamaduni Mwanza. Kimenipa maswali mengi. 1. Kuna ujumbe tunaandaliwa kisaikolojia? 2. Wandaanji wa wimbo hawajui wanacho imba ama...
  16. F

    Yuko wapi Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango?

    Ni muda kidogo huyu Makamu wetu wa Rais Dr. Philip Isdor Mpango hajasikika! Huyu ni Mchumi japo mimi binafsi sina imani na aina ya uchumi anaosimamia ( uchumi wa kijamaa). Inavyoonekana huyu Makamu wetu wa Rais Dr.Mpango ana mchango mkubwa sana katika kupatikana kwa mchumi mwingine katika...
  17. TAHADHARI: Iwapo una mpango wa kujiagizia gari

    TAHADHARI TAHADHARI Punguza usumbufu kwa kutojiagizia gari mwenyewe Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari Mada hii fupi inakuja baada ya kuona baadhi ya ndugu zetu waliojiagizia wenyewe au kupitia watu wao wa karibu wenye uzoefu na matokeo yake gari zao zikachelewa mpaka miezi 6...
  18. Mpango wa kujenga nyumba kwa kuhifadhi mahitaji kwanza

    Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo; 1. Vitu gan...
  19. B

    Katiba Mpya: Ukweli Usiosemeka

    Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi. Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi. Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...
  20. R

    Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

    Habari za midaa hii wa JamiiForums. Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya. Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…