mpango

  1. Ushiriki wa Bodi ya Wakurugenzi kwenye Usimamizi wa Mpango Mkakati kwa Kampuni au Shirika

    Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
  2. N

    Mpango wa kunywa maji ya kutosha 2025

    MPANGO WA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA MWAKA 2025 Heri ya Mwaka Mpya 2025 Wana Jf! Tukianza mwaka mpya wa 2025, kipaumbele nambari moja, kipindi chote cha mwaka kiwe afya zetu. Tufanye hivyo kwa kuanzia na unywaji wa maji ya kutosha. Sote tunafahamu faida za maji mwilini, lakini ni vipi hatunywi...
  3. N

    Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora

    Habari Ndugu wa Jf, Chukua yatakayokufaa kuhusu Mpango wa mwaka mpya 2025 na afya Bora Utangulizi Msimu wa sikukuu ni wakati wa sherehe, lakini pia unaweza kusababisha kula kupita kiasi na kupata uzito Kupita kiasi. Tunapojiandaa kuukaribisha mwaka mpya 2025, azimio la kuweka afya na ustawi...
  4. Q

    Kama Lissu hakujifunza kwa Zitto, ajifunze kwa Dkt. Mpango

    Sheria ziko tatu tu nazo ni, 1. Rule Number One: Don't outshine your Boss. 2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss. 3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss. Sheria za nyongeza, 1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳 2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do...
  5. Mpango wa "kuvidogosha" vilabu vya Simba na Yanga unaenda kufanikiwa

    Si muda mrefu uliopita vilabu hivi vikubwa vilikuwa na uwezo wa kujaza uwanja wa Uhuru au Mkapa hata katika mechi ndogo tu za ligi achilia mbali zile za kimataifa. Zikaja story za ukarabati wa uwanja wa Mkapa, wote tunajua hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Wakati huo huo uwanja wa Uhuru nao...
  6. Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene isaka wakati wa Uzinduzi wa Mifumo na Mpango wa Toto Afya Kadi

    HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU DKT. IRENE ISAKA KWENYE UZINDUZI WA MIFUMO NA MPANGO WA TOTO AFYA KADI DODOMA, TAREHE 17 DESEMBA, 2024 Waziri wa Afya na Mgeni Rasmi, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge – Afya na Ukimwi Katibu Mkuu-Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu...
  7. S

    Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani?? 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena...
  8. Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  9. Pre GE2025 Nimepita mitaa ya Lumumba, wamerelax baada ya mahasimu wao kuanza kutukanana wao kwa wao, mpango ni watukanane mpaka 2027

    Nimepita mitaa ya Lumumba, watu wanakuna vitambi tu huku wakipapasa vioo vyao vya simu kusoma jinsi watu wa Chadema wanavyovurumishiana matusi, kutupiana makopo, chupa na uchafu. Sasa inaangaliwa namna ya kuwafanya watukanane mpaka walau 2027
  10. T

    Wanawake Wengi Hawataki kutumia Uzazi wa Mpango ila wanapenda Kugegeduana Pekupeku, Kibaya hawataki mimba au Kuzaa;Hii imekaaje?

    Unajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision". Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa...
  11. U

    Asad asema hakuwa na mpango kukimbia na kuwatelekeza watu wake ila Jeshi la urusi ndilo lilimuondoa nchini Syria kwa ajili ya usalama wake

    Wadau hamjamboni nyote Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa vibaya na waasi Isingalikuwa warusi kumuondoa nchini Syria kwa nguvu basi angeliendelea kupambana hadi...
  12. Waziri Silaa aitaka Bodi ya TTCL kuandaa Mpango Kazi wa Kujiendesha Kibiashara

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara. Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
  13. F

    Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
  14. M

    Gaza: Mpango wa amani kati ya Israel na Hamas uko karibu kufanikiwa

    Matumaini mapya ya kusitisha vita vya GAZA yaanza kuonekana mara baada ya Wapatanishi (Misri na Katari) kueleza kuwa, kundi la wapiganaji la HAMAS limebadili Msimamo wake wa awali wa kutotoa orodha ya mateka walioko hai mpaka sasa. Kundi la wapiganaji la HAMAS limekubali wanajeshi wa ISRAEL...
  15. Mbowe hana mpango mkakati mpya wa mabadiliko kwa uchaguzi wa 2025.

    CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu sahihi wa kuongoza na kuleta mabadiliko mwakani. Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio...
  16. Tanapa na wizara ya mali asili na utalii mna mpango gani na biashara ya utalii?

    Salamu kwa wote. Kutokana na kuporomoka kwa dollar, wafanyabiashara ya utalii wamejikuta wakipata hasara kubwa kutokana na exchange rate ya Tanapa kubaki kuwa 2609 Tzs huku thamani ya dollar sokoni ni 2300$. Pamoja na serikali kusisitiza matumizi ya shillingi bado kwenye biashara ya utalii...
  17. K

    TRA inakusanya kodi hadi kwa Maduka ya Mtaani wakati Madalali wapo Mitaani wanaingiza fedha ndefu bila makato yoyote

    Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10. Tangu siku hiyo nimekaa nikiwaza ni kiasi gani cha mapato Serikali inapoteza kama kodi kutoka...
  18. M

    KERO Serikali, mna mpango gani na Usafiri wa Treni? Mnatuwekea siku maalum ya kukata tiketi, halafu tukifika kukata, mnasema nafasi zimeisha?

    Wana JF mmelala? Jamani hivi hizi train zipo kwaajiri Gani? Ukiachana na SGR Kuna Train inaitwa Deluxe, watu WA kigoma mwanza Tabora mtakuwa mnanielewa. Hii Train inaelekea mkoani kutoka dares salaam, mara Moja Kwa week, ambayo ni Alhamis. Na nauli Huwa ni elfu 36 third class na elfu 48 second...
  19. R

    Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

    Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea...
  20. DOKEZO Jiji la Dodoma kuna changamoto ya mpango mji, Watu wengi wanaishi maeneo hatarishi

    Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024 Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007. Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…