mpango

  1. milele amina

    Dkt. Philip Mpango wa Magufuli alistahili kuwa waziri wa Fedha, Mpango wa Samia hafai kuwa hata mkuu wa Mkoa

    Dr. Philip Mpango alikuwa waziri wa Fedha wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, ambapo alionesha uwezo wa kipekee katika kusimamia masuala ya kifedha ya nchi. Katika nafasi yake, alifanya kazi kubwa katika kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuendesha mipango ya maendeleo, na hivyo kuwa...
  2. T

    Nina mpango wa kumuoa lakini amezidi kelele

    Niko kwenye mahusiano na huyu Binti ana miaka 28, huu ni mwaka 3. Nampenda sana na tulishapanga mipango mingi, shida nikuwa hivi karibuni kabadilika sana na sioni kama nawezana naye. Kwanza amekua mtu wa kisirani, kakitu kadogo ataongea mpaka inaboa, ukichelewa kupokea simu hata kama ulikua na...
  3. JanguKamaJangu

    FCS: Tumeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kiuchumi na kuziunganisha na Sekta Binafsi

    Shirika la Foundation for Civil Society (FCS), limeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kujikwamua kiuchumi kutokana na ushirikano utakaozikutanisha pamoja na Sekta Binafsi katika utekelezaji wa shughuli zao mbalimbali za maendeleo katika jamii. Afisa Oparesheni na rasilimali watu wa FCS, Karin...
  4. Tlaatlaah

    Kuna kila dalili na uwezekano Freeman Mbowe na Mchungaji Msigwa kumaliza tofauti zao nje ya mahakama

    Ama kweli siasa sio uadui, na hakuna uadui wa kudumu kwenye siasa.. Wabobevu na manguli wa siasa za Tanazania wameamua kujitosa na kuchukua hatua za kuingilia kati ugomvi wa kisiasa na kutuliza vita ya maneno, kashafa na tuhuma za kisiasa baina ya F. Mbowe mwenyekiti wa chadema taifa na...
  5. God Fearing Person

    Taharuki , kuna mpango wa kumuua baba yangu unasukwa.

    Wakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua . Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi. Mimi ni last born wa mzee . Yaani wakuu black people this race is cursed
  6. Mi mi

    Tuje na mpango mkakati wa kukuza IQ zetu bila hivyo tutaendelea kuteseka

    Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo. Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu. Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo. Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za...
  7. Mr Dudumizi

    Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini. Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
  8. Hyrax

    Mliooa Single mother na wale wenye mpango huo, hebu msikilizeni huyu mwamba

  9. Mhafidhina07

    wamasai wakizaliana ngorongoro kuna mpango gani dhidi ya ongezeko lao?

    tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?hifadhi zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho? je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
  10. Jidu La Mabambasi

    Rais Samia, achana na mpango wa Ngorongoro

    Suala la kuhamisha watu wote Ngorongoro halijapokewa vizuri na si tu jamii ya wamasai, bali watanzania kwa ujumla. Kwanza, hapakuwepo utashi wa kisiasa kulifanya eneo lote la Ngorongoro kuwa Human Free. Pili, wakazi wa maeneo hayo wapo, na sijui kama wameshirikishwa. Tatu, Govt Decrees bila...
  11. Roving Journalist

    Dkt. Mpango aelekeza Wizara ya Madini kusimamia uvunaji wa madini ya kimkakati Nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango ameyasema hayo leo Agosti 22, 2024 Katika eneo La Mpwayungu,Wilaya ya Chamwino-Dodoma wakati...
  12. Stephano Mgendanyi

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango Aielekeza Wizara ya Madini Kusimamia Madini Mkakati kwa Manufaa ya Watanzania

    DKT. MPANGO AILEKEZA WIZARA YA MADINI KUSIMAMIA MADINI MKAKATI KWA MANUFAA YA WATANZANIA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameitaka Wizara ya Madini kuhakisha inasimamia vyema uvunaji wa madini ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika nayo. Mh. Dkt. Mpango...
  13. J

    Dkt Mpango aipongeza Wizara ya maji kwa usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maji Nchini

    DKT MPANGO AIPONGEZA WIZARA YA MAJI USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NCHINI BAHI-DODOMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Philip Isdori Mpango Leo Agosti 19, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma. Mhe...
  14. BARD AI

    Rais Ruto asaini Mpango wa Kupunguza Fedha kwenye Bajeti za baadhi ya Taasisi

    Rais William Ruto ameidhinisha Muswada wa Matumizi ya Ziada na Mpango wa Kupunguza Matumizi ya takriaban Tsh. Trilioni 3.02 (Ksh. Bilioni 145) katika Bajeti iliyotengwa kwaajili ya Serikali. Bajeti za Wizara zitapunguzwa kwa Tsh. Trilioni 2.90, Bunge Tsh. Bil. 77.27, Mahakama Tsh. Bil. 43.86...
  15. W

    Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mpango wa Minara ya UCSAF kunufaisha Watu Milioni 8.5, Wilaya ya Kibondo Wanufaika

    MPANGO WA MINARA UCSAF KUNUFAISHA WATU MILIONI 8.5, WILAYA YA KIBONDO WANUFAIKA Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema kuwa wananchi milioni 8.5 watanufaika na kuunganishwa kwenye mawasiliano ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano kupitia mpango...
  17. Roving Journalist

    Dkt. Mpango akagua ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege Kigoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekagua na kupokea taarifa ya maendeleo ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kigoma unaoendelea kutekelezwa Mkoani Kigoma. Dkt. Mpango amekagua uwanja huo, leo Julai 09, 2024 katika Manispaa ya Kigoma...
  18. Roving Journalist

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa

    Makamu wa Rais, Dkt Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi madhubuti wa miradi mbalimbali ya Sekta ya Nishati hususan miradi ya umeme ambayo inapelekea nchi kuzidi kujiimarisha kiuchumi. Dkt. Mpango ametoa pongezi hizo leo Julai 8, 2024 wakati alipokagua utekelezaji...
  19. Roving Journalist

    Dkt. Mpango aagiza kukamilika ujenzi wa Barabara ya Malagarasi - Uvinza ifikapo Machi 2025

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha anasimamia ujenzi wa barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (km 51.1) kwa kiwango cha lami ukamilike ifikapo mwezi Machi, 2025. Dkt. Mpango ametoa agizo hilo leo...
  20. Pfizer

    RC Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Amana wa Bilioni 3. Huduma ua Kangaroo kuwa bora zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu. Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
Back
Top Bottom