mpango

  1. Swali kwa wanasheria: Je, Dk Mpango anaweza kumalizia muda wa rais Samia kisha anagombea tena miaka mitano?

    Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya . Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026...
  2. Joe Biden asinzia wakati Makamu wa Rais Dkt. Mpango akizungumza

    Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza. Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake. Hii ni aibu. https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb Video ndefu zaidi hii hapa…...
  3. Kukamatwa na kupatikana kwa Nondo inaweza kuwa ni njia ya kuwatoa ACT katika msimamo wao wa kutaka uchaguzi wa serikali za mitaa kurudiwa?

    Je,hili sakata la kada wa ACT wazalendo (Mwenyekiti wa vijana) kukamatwa na kupatikana ndani ya siku moja inaweza kuwa ni njia ya kuwatoa ACT katika msimamo wao wa kutaka uchaguzi wa serikali za mitaa kurudiwa? Katika sakati hili tumeona Mheshimiwa zitto kabwe akitoa taarifa mbalimbali kuhusu...
  4. Dkt. Mpango akabidhi magari 96, pikipiki 300 za Chanjo

    Na WAF - Ruvuma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Disemba Mosi, 2024 amekabidhi magari aina ya Lori 28, Double-Cabing 68 yenye vifaa vya baridi pamoja na pikipiki 300 zenye thamani ya Shilingi Bilioni Nane ambayo yatasambaza huduma za chanjo kote nchini...
  5. A

    KERO UDOM kuna mpango gani na overpayment zetu?

    Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha. Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na...
  6. W

    Una Mpango wa kwenda Dubai hivi karibuni? Haya ndo masharti unatakiwa kufahamu ili uweze kufurahia safari iliyo salama

    Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai 1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya Umma. Hakikisha unavaa Mavazi yanayofunika Mabega na Magoti unapokuwa hadharani 2. Pia...
  7. Kuna uhusiano wowote kati ya Philip Isdor Mpango na Marehemu King Kikii

    Salaam Wakuu, Nimena Majina ya Ukoo ya Kink Kikii na Makamu wa Rais wa Tanzania yanafanana. Kumbuka Makamu wa Rais wa anatokea Kigoma Mpakani mwa Congo. Na Kink Kikii anatokea Congo Mpakani na Kigoma Tanzania. Makamu wa Rais wa Tanzania anaitwa Philip Isdor Mpango na Mwanamuziki alofariki...
  8. Dkt. Biteko Ataja Jitihada za Serikali Kuboresha Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za Afya za Kimataifa ili kuzuia magonjwa ya kuambukiza kusambaa kimataifa. Kupitia tathimini ya pamoja...
  9. Nina mpango wa kuweka Electric shock mlangoni

    Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana Hii ni mara ya tano naibiwa vitu ndani nikiwa safarini wahuni wanavunja kufuli la Grill, wanavunja kitasa cha mlango kisha wanaingia wanaiba vitu sasa nataka niweke mfumo wa Shoti ya umeme kwenye Kitasa Cha mlango wa Nyuma, atakaekuja kujichanganya...
  10. Dk Philip mpango ulizamilia kweli kuwa padre au ulikuwaga unatania tu?

    Aman iwe nanyi wana MUNGU Kwetu sisi wakatoliki ndoto kubwa kabisa kuliko zote ni kuwa Padre usalishe Misa Kuna mkatoliki mwenzagu ambaye hata leo sijamuona kanisan pale parokian kwetu Philip mpango et kumbe naye alikuwaga anasomea upadre Ndo huwa najiuliza alikuwaga Sirius au matan tu...
  11. Pre GE2025 Mwita Waitara: Sina mpango wa kuachia Jimbo, ila naweza nisirudi Bungeni serikali isipotatua changamoto Tarime Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
  12. Wale mnaotafuta jinsi ya kujiunga na mpango wa Lottar Green Card Njoo hapa Bureee!

    Nimesikia Radio Moja hapa nchini ikitangaza mpango wa kujiunga na Green Card kuwa single ni 20,000, na familia 30000/- Huu ni wizi kama wizi mmwingine! Ilitakiwa watoe elimu jinsi ya kujiandikisha na sikuwatoa pesa! Wanakusanya pesa nyingi unaweza kukuta hata katika walioomba asipata hata mtu...
  13. K

    Mpango wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania yasaini Mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania

    Katika hatua ya kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania na washauri wabobezi wa biashara, jana Novemba 5, 2024. Lengo kuu la mradi huu ni kuwajengea Wanawake uwezo katika biashara zao...
  14. Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

    Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata kusababisha huzuni. Kwa mawazo yangu, suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni mila ya kizungu, si mpango...
  15. R

    Wana CHADEMA waliolazimishwa kujiunga CCM Wana mpango wakurejea Chadema hivi karibuni CCM chukueni taadhari

    Kuna majadiliano na mawasiliano yanafanyika kuhusu utaratibu mzuri wa waliokuwa wanasiasa ndani ya chama cha CHADEMA wakalazimishwa na JPM wahamie CCM wanajipanga kurejea CHADEMA. Mkakati huu unaratibiwa vyema na viongozi wa juu wa Chadema ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025. Wakati huo...
  16. Dkt. Philip Mpango: Tusikae kulalamika kuwa viongozi hawafanyi kazi bila juhudi za kuwachagua

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango, ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, katika Kanisa la Mt. Francis Xavier, Nyakahoja, Mkoa wa Mwanza. Katika hotuba yake, Mpango amewahimiza wananchi kujiandikisha kwa wingi kwa ajili ya...
  17. Pemba kunahitajika zaidi elimu ya uzazi wa mpango, Watoto wanateseka

    Naandika andiko hili fupi nikiwa Unguja - Zanzibar baada ya safari ya takribani Wiki Mbili nikiwa kisiwani Pemba. Mimi ni Mwandishi wa habari na nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi Tanzania bara na Visiwani ila nilichokikuta Pemba bado kinanijastaajabisha hadi sasa naandika andiko hili...
  18. Je huu mkakati wa kusambaza mitungi ya gas ya LPG sio mpango wa kuhujumu matumizi ya gas ya NPG inayopatikana Tanzania?

    Wafanyabiashara wenye kuagiza bidhaa muhimu toka nje tumeona kila wakati wakihujumu mipango ya taifa ya kuzalisha bidhaa hizo nchini. Tumeona kwa mfano wakihujumu uzalishaji wa ngano ili biashara yao na wabia wa nje isife. Tumeona mfano huo kwa uzalishaji wa sukari kila wakati kukiwa na hujuma...
  19. Ndoto ya Tanzania katika Michezo ya Olympic: Mpango wa Miaka mitano.

    Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa hatujawahi kushiriki kwenye ile michezo ya Olympic ya Winter. Katika michezo hii toka mwaka 1964...
  20. Gharama ya Kufanikisha Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 – 2034) Jumla Kuu 4,554,015,000,000

    Katika pitapita zangu nimekutana na hilo jarida la Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) nikaamua kuleta kwenu pia (doing my civic duty) document ni pdf ipo attached ila kwa ufupi naweka picha kwenye gharama zinazotazamiwa kutumika ili kufanikisha hilo jambo (baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…