Januari mwaka 2001 mapema kabisa kabla ya George Bush kuapishwa na kuwa rais wa Marekani, makamu wa rais, Bwana Dick Cheney alimtumia ujumbe waziri wa ulinzi, William S. Cohen ambaye aliwekwa hapo kupitia Chama cha Republic ambaye kwa wakati huo alikuwa akifanya kazi na Rais Bill Clinton...