mpango

  1. Kaluluma

    Kuna uhusiano wowote wa tumbo kubwa kwa mwanamke na matumizi ya vijiti au njia za uzazi wa mpango?

    Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote katika hili?
  2. Roving Journalist

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Mwigulu na Kitila "Chukueni maoni ya Wafanyabiashara"

    Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), kuchukua maoni ya Wafanyabiashara na wawekezaji ili kuboresha sera na sheria za...
  3. Pang Fung Mi

    Mwanaume ambae hana mpango wa kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike.

    Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga ndoa wala kuoa au kuolewa. Hawa viumbe kazi yao ni kunyandua na kupata matokeo ya minyanduano...
  4. The unpaid Seller

    Kama haujawahi kunywa energy drinks Hongera na Jiepushe nazo. Kama umezoea kuzitumia Tafadhali weka mpango wa kupunguza na kuacha

    Peace, Awali ya yote niweke wazi andiko langu halina kusudi la kuhafifisha au kuathiri biashara ya mtu yeyote ila ni ushuhada wa kweli na dhairi wa watu wanaonizunguka. Nimekuwa nikisikia na kuona vijana wengi wakipendelea vinywaji vya kusisimua mwili alimaarufu "energy drinks" ziko za aina...
  5. Mjanja M1

    Dkt. Mpango amtabiria mtoto kukalia kiti cha Makamu wa Rais

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amemtabiria mtoto wa kwanza kuzaliwa katika kituo cha afya Ketumbeine kuja kuwa Makamu wa Rais miaka ijayo. Dkt. Mpango ametoa utabiri huo leo Februari 10, 2024 kwa mtoto aliyezaliwa na kupewa jina la Philipo baada ya msichana, Nengai Nairowa (17) kutembelewa na...
  6. Roving Journalist

    Dkt. Philip Mpango: Jitihada zinahitajika kutoa elimu ya magonjwa yasioambukiza

    Bohari ya Dawa (MSD) imeshiriki Mkutano wa Kimataifa wa Magonjwa ya Moyo ulioandaliwa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na kuwakutanisha Madaktari Bingwa, wataalam na wadau wa afya, wauguzi na watunga sera kutoka mataifa zaidi ya 40 Duniani kwa lengo la kujadiliana na kubadilishana uzoefu...
  7. Pang Fung Mi

    Upacha mpyq wa mgao wa namba ya simu na mpango kazi wa maokoto

    Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu. Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
  8. J

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    Taarifa ya kukanusha upotoshaji zinazosambazwa kuhusu usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi
  9. JanguKamaJangu

    Tanzania yachaguliwa kuwa moja ya nchi 8 za Afrika zitakazopewa kipaumbele kupitia mpango mpya wa Mattei Plan

    Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya nchi nane za Afrika zitakazopewa kipaumbele na Italia kupitia mpango mpya wa kimkakati wa Mattei (Mattei Plan) ambapo kiasi cha Euro bilioni 5 za awali kimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi hiyo. Miradi hiyo ya kipaumbele kupitia Mpango mpya wa...
  10. A

    DOKEZO Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale

    Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima. Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
  11. M

    Hii hapa clip prince wa saudi anasema vita kati ya Israel na Hamas haibadilishi mpango wake wa kuanzisha mausiano na Israel

    Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge
  12. L

    Mpango wa uwongo wa Marekani wenye thamani ya dola milioni 300 wafichuliwa

    Kwa miaka mitano mfululizo, kila mwaka dola za Marekani milioni 300 zimekuwa zikitengwa, hivi karibuni msomi wa Ulaya Bw. Jan Oberg alifichua katika mahojiano kuwa Marekani imetoa mswada wa kutoa mafunzo kwa waandishi wa habari ili watoe ripoti mbaya kuhusu China. Inadaiwa kwamba kile...
  13. chiembe

    Pre GE2025 Ushauri: Kama Mzee Philip Mpango unaona afya inakusumbua sumbua, 2025 Samia amchague Majaliwa kuwa mgombea mwenza

    Najua sitamkwaza Mzee wangu Filipo, ila namshauri tu, kama ataona bado ka afya kanaleta leta shida, amfate mama amwambie kwamba atafute mtu mwingine wa kupiga naye jaramba 2025. Afya ni muhimu kuliko chochote. Yeye abaki na kazi ya kushauri, na pia apate muda wa kutosha kuangalia afya yake...
  14. The Burning Spear

    Dawa kutoka CUBA ni Mpango Serikali kupitia wizara ya Afya au Polepole?

    Navojua polepole ni mtumishi wa serikali. Na ametumwa na Rais kuwakilisha nchi. Kwanini suala la dawa kutoka CUBA atangaze yeye kama yeye na siyo wizara ya afya. Hizo dawa zimethibitishwa na nani kwa matumizi ya hapa Tanzania and how ziende private hospital? Unless kutakuwa na shida mahali
  15. Pascal Ndege

    Tabia za Wapalestina za mauaji, utekaji, ubakaji wa mahujaji zilichochea mpango wa kuundwa taifa la Israel 1948

    Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita. Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili na kukua na kusambaa. Miaka 700 baadae uislam ukashamili na vita ikapigwa sana na sheria ngumu...
  16. Mhaya

    DINI zimetugawa sana; Ikitokea Africa tukatawaliwa tena, basi tutasema ni mpango wa MUNGU

    Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu. Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU Unateseka...
  17. Ex Spy

    Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  18. Chizi Maarifa

    Sijawahi mnyonya mwanamke na sina mpango wa kumfanyia hivyo mtu!

    Niseme tu. Napenda mwanamke aninyonye.... Hilo napenda sana. Ila akitaka kunitibua aniambie na mimi nimnyonye... Hapo namuuliza swali la kwanza "JE WEWE NI BIKRA?" Obvious huyo atakuwa ni no. Then siwezi mnyonya sababu unaponyonya K wewe mwanaume unakuwa umenyonya in kind na ubooh wa mwingine...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Nilipanga mwaka huu nijiunge na siasa lakini Nimeghairisha mpango

    Kwema Wakuu! Mpango wangu tangu mwaka jana kama nilivyoandika kwenye uzi hapa Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi? Nilitaka nijiunge na Siasa za nchi hii lakini kwa sababu za kiufundi nimeamua kughairisha mpango huo. Wapo...
  20. K

    Mpango wa dunduliza wa NHIF haueleweki

    Habarini za kazi wana JF! Nimejaribu kufuatilia utaratibu wa Dunduliza katika NHIF lakini naona kama mifumo haisomani: Ukienda NHIF kwenyewe.wanakwambia utembelee tawi la NMB lililokaribu yako kwa jaili ya usajili. Ukiemda NMB wanakwambia wao hawafanyi usajili huo bali ujisajili mwenyewe...
Back
Top Bottom