Katika orodha ya watu muhimu waliofariki nchini mwaka 2020, Jina la Erasto Barthlomeo Mpemba halimo! Watu waliofariki mwaka huo, na misiba yao kuadhimishwa kitaifa mwaka huo, wamo Rais mstaafu Benjamin Mkapa, John Kijazi, Mchungaji Rwakatare, Jaji Agustino Ramadhani, Waziri Agustine Mahiga—wote...
Erasto Mpemba (kushoto) na Profesa Osborne, siku ya kutoa tuzo kwa mshindi aliyeweza kutoa sababu za maji ya moto kuganda upesi na kuwa barafu kuliko ya baridi.
Nimeona ni vizuri tujikumbushe kidogo kuhusu Mtanzania huyu dadis aliyefungua fikra za wanataaluma wa sayansi. Ni ndefu lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.