mpendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Mhe. Rais mpendwa sijaona post yako ya kutu wish heri ya x mas

    Mh rais naona amekaa kimya sana. Ameshimdwa hata kutu wish heri ya x mas kweli. Japo hatuna kitu lakini akitu wish tunagarijika
  2. God has not forgotten you

    “And Samuel said unto Jesse, Are here all thy children? And he said, There remaineth yet the youngest, and, behold, he keepeth the sheep. And Samuel said unto Jesse, Send and fetch him: for we will not sit down till he come hither”. 1 Samuel 16:11 (KJV) The question I want to ask today is what...
  3. Mumeo/mkeo akisema usimsumbue wakati wa tendo, jiongeze mpendwa

    Knakutana na haya mambo yanajirudia kwenye ndoa hasa wakati wa tendo la ndoa Mwenzio anakujibu Uinigusee Nimechoka Sijisikii Niamshe baada ya masaa mawili Nanmengineyo kama una la kuongeza tujuzane Kama unakutana haya ndugu jiongeze mapema kabisa kwa usalama wako Hapo ndoa Ishanzaa kutetema...
  4. Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana

    Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana bado kwenye kifusi cha ghorofa iliyoporomoka Kariakoo na wana imani kuwa bado yupo hai na kuomba wanaoendelea na zoezi la uokoji wasaidie kumtafta.
  5. L

    Rais Samia awatakia heri wanafunzi wa Kidato cha Nne wanaoanza mitihani yao leo Novemba 11, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amewatakia heri wanafunzi wote kidato cha nne Nchini kwote wanaoanza mitihani yao hii leo. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  6. Waandishi wa Habari wa Tanzania mnajisikiaje hakuna hata Mmoja wenu aliyechukua Tuzo huko Mkutanoni SADC leo alikoenda 'Mama' yenu Mpendwa?

    Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
  7. Rais wetu mpendwa wateule wako wanakudharau sana sisi wananchi tunaona aibu..

    Kwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
  8. Natafuta mpendwa. Iwe katka mahusiano, urafiki, ujamaa, udugu n.k

    alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar katka hayo yalyo juuu
  9. Z

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  10. Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
  11. R

    Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
  12. Kwako Mpendwa wetu Unique Flower

    Habari yako Miss Unique Flower , nikiwa kama moja ya Wanachama wa JamiiForums nachukua nafasi kukupa ushauri huu hapa jamvini. Soma huu Uzi mara nyingi uwezavyo ili kuleta mabadiriko ya afya ya Akili yako. NB: Wewe ni Mtu wa thamani sana acha kuwababaikia Wanaume , anayekupenda kweli atakufuta...
  13. Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

    Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu...
  14. TFF wanazidi kujipambanua kwamba Simba ni Kijana wao mpendwa

    Natoa kama Rai mashabiki wa Yanga hamna budi kuomba sana kwa ajili ya timu yenu maadui ni wengi mnoo mje na ndani ya uwanja na wanafanya kazi kwa kushirikiana kuhakikisha malengo yenu hayatimii. Adui kwa kwanza mkubwa wa Yanga ni TFF, TFF ipo kwa lengo la kuhakikisha yanga inaharibu lakini kwa...
  15. Leo tumemzika mpendwa Edward Magige kijijini Butiama

    Maziko yamekwisha kwa amani tunashukuru. Kwanza tulikuwa Shinyanga tukamwita paroko kufanya ibada. Paroko hakuongea chochote zaidi ya kumgombeza maiti kwa tabia yake ya kutopenda kwenda kanisani alipokuwa hai. Tukaenda Butiama ikafanyika misa, lakini hotuba ya paroko ilikuwa inaonyesha...
  16. Ulijisikiaje pale ulipoambiwa kuwa mpendwa wako hawezi kupona tena.Ugonjwa umeshambulia sana mwili?

    Nakumbuka Baba yangu mzazi alikuwa anasumbuliwa na saratani ya ngozi.Tulifanya jitihada za kila namna kuokoa maisha ya baba yetu mpendwa,tulizunguka hospitali mbalimbali ila mwisho wa siku tukaelekezwa tuelekee hospitali ya Ocean Road Dar-es-salaam. Ndugu walipambana kuchangishana hela ili mzee...
  17. W

    Kuna namna ya kumuombea dua marehemu Eid hii ya Kuchinja?

    Wandugu nilikuwa nauliza, kuhusu mpendwa wangu ambaye ni marehemu, je, nitaweza mrehemu vipi kupitia hii Eid ya kuchinja? Yeye ni Musilamu na mimi sielewi chochote kuhusu hilo suala, hivyo ninaomba muongozo, kuna mnamna ya kusoma dua kwa kipindi hiki cha Eid ya kuchinja? Je, umuhimu wake ni upi...
  18. Wabunge wetu: Kesho huyo mpendwa wetu DP World mpeni tu bandari kavu zetu zote. Hizo bandari maji aachane nazo, tutaziendeleza kwa pesa yetu

    Huyo DP World ni gwiji sana wa bandari kavu. Huko Rwanda kawafanyia maajabu hadi inasemekana wamezipita baadhi ya bandari maji barani Afrika. Mpeni exclusive ownership za bandari kavu zetu zote. Masharti mengine ya mkataba yanaweza baki kama yalivyo isipokuwa pale inaposomeka bandari maji...
  19. Jaji Warioba nakutuma kwa kadinali na askofu waulize juu ya mpendwa wetu Membe

    Kutokana na kifo cha ndugu yetu Benard Membe maswali ni Mengi hatakama utawala wa mama umeamua kukalia kimya Nakutuma kwa Kadinali aliyetuma ujumbe kumsihi Membe amsamehe Musiba baada ya hukumu ya mahakama kutoka Pia nakutuma kwa askofu aliyetuma ujumbe kwa Membe siku chache kabla ya kifo...
  20. F

    Yupo wapi Rais Mpendwa Samia Suluhu Hassan?

    Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa. Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni. Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…