Wapigadili, walafi, mafisadi na matapeli wana akili sana. Kila kiongozi anayeingia madarakani humkalia kikao na kujua wapi anawashwa ili wamkune hapo hapo!
Hakuna Rais aliyewahi kuwa na mapenzi na watu wake Kwa hapa Tanzania kama Julius Nyerere lakini hatukuwahi kusikia akiitwa "Rais wetu...
Salaam wakuu,
Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona...
Niende kwenye mada, kuoa ni hitaji la mwenza na si pendo la mwenza, mwanaume anaoa ili atimize mahitaji yake ya maisha na kuishi hivyo kuoa ni strategia ya kumpata msaidizi wa kusaidiana kufikia malengo hayo
Hivyo uendelevu ni pale mke (mhitajiwa) anavyoishi na kuenenda namna mume ama mhitaji...
Jana mchana nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga Tanzania akielezea juu ya ajali ya ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nikawa nasoma maoni yanayopita pembeni ya kile kioo cha kinakilishi changu.
Alionekana kama anapiga siasa zile zile tunazozizoea kuzisikia kutoka kwa watanzania pindi...
Mi ni first born, tumezaliwa wawili. Miaka hiyo ya 90s baada ya mama kutalikiana na baba mzazi aliyeamua kumuoa mwanamke mwingine na kumwingiza aishi nyumba moja na mama(dharau) hivyo mama alishindwa aliamua kurudi home kwao Tukuyu from Magomeni Mapipa DSM. Watoto wawili, hivyo akaona hatoweza...
Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu.
Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane.
Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao.
Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi.
Tufanye hakuna watu waliofunguliwa...
Leo ni Alhamisi alfajiri...
Nikiwa na akili zangu timamu, natumia safu hii kuutarifu uma wa JF kuwa....
Kasinde ni chombo halali ya Babu kuanzia mwezi Mei 2022.
Baada ya hicho kibwagizo sasa acha niendelee na salamu zangu kwa Babu.
Babu....
Kwanza kabisa nakupenda, najua wajua hilo...
Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli
Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo...
JF Mahusiano👋
Nipo hapa kuuliza swali dogo tu.
Ipi ni zawadi nzuri ambayo unaweza mpatia mpenzi wako akafurahi Mainly Mwanamke hasa katika siku zao Maalumu kama Birthday?
Nina Jambo langu hapa😂😂
NOTE:Toa ushauri pasipo kuangalia swala la uchumi let's assume wote tuna kitu.
Ngugu zangu kwanza mimi kama watanzania wengi wazalendo naomba ni ' dikleee' interest. Mimi ni mtu ambaye sina chama, so huwa niko huru kusema au kuusapoti upande wowote ninaohisi kwa siku hiyo una maslahi kwangu.
Rais ana nafasi ya kujenga ambayo haitasahaulika maisha akifanya haya..
1...
Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
Maeneo mengine duniani, kuanzia tarehe moja mwezi ujao wanakuwa wako mapumzikoni na wapenzi au wapendwa wao; kwa waliojipanga vizuri, wataenda hata nchi ya mbali akiwa na mwenzi wake au familia yake kuponda maisha kwenye mbuga za wanyama, milima, sehemu za utalii au vivutio mbalimbali n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.