mpenzi wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Kwanini na ilikuaje ukapigwa kibuti na kuachwa na mpenzi wako

    Nini hasa ilikua sababu ya msingi hata ukaachwa na mpenzi wako na mlikua mnapendana sana? Umejifunza nini kwenye mahusiano yako mapya dhidi ya ulikopigwa chini na kinaimarisha uaminifu na upendo zaidi kwenye mapenzi yenu? kuna unacho kimiss? pole kwa mahusiano ya kimapenzi kichefuchefu my...
  2. Moto wa volcano

    Umeshawai kumuacha mpenzi wako halafu ukajutia

    Husika na kichwa cha habari , Umeshawai kumuacha mpnz wako halafu ukajutia baada ya kukutana na Bomu zaidi , halafu unatamani kumrudia uliyemuacha, Funguka tupate experience mbali mbali
  3. Mshangazi dot com

    2025 hii, Vipi mpenzi wako yuko vile vile kama mlivyokutana au kabadilika?

    Mpenzi wako au mume wako au mke wako, tabia yake iko vile vile kama ulivyomkuta na kumpenda au kabadilika? Vipi bebi wako mbususu na rungu anakupa kwa spidi ile ile kama mlivyoanza au siku hizi unapimiwa? Mwisho kabisa, Je bebi wako muonekano wa kimaumbile yuko vile vile kama mlivyokutana au...
  4. Mshangazi dot com

    Ulimpendea sura, shepu au tabia? Tuambie Kigezo cha kumchagua mpenzi wako uliyenaye 2025 kilikuwa nini?

    Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu. Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani? Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vile au amebadilika?
  5. N

    Hivi unamuitaje mpenzi au mke wako mama?

    Kuna kitu ambacho sitakielewa hapa duniani basi ni hii tabia ya wanaume kuwaita wapenzi wao au wake zao mama! Hivi mpenzi wako anaweza kuwa mama yako kweli? Mtu ambae unalala nae uchi na mnamaliza staili zote za mibinuko unamwita mama? Au mimi mshamba? Hii ni heshima au ndio mapenzi? Na nyie...
  6. BigTall

    Hivi wewe ulivyoachwa na mpenzi wako alikwambia nini au ulivyomuacha ulimwambiaje?

    Sijui ndio nimeachwa au sijui bado nipo kwenye penzi, hata sielewi, maana hizi dalili za mpenzi wangu naona kama mguu mmoja ndani mguu mmoja nje. Hivi mtu akikuacha anakwambia au anakaa kimya tu?
  7. green rajab

    Zawadi gani hautakaa uisahau toka kwa mpenzi wako?

    Kwenye stage ya ujana mahusiano mengi huanzishwa hapa ndio tunapokutana na kila aina ya tabia na hali tofauti za kiuchumi kati ya wenza, unaweza kutana na mabinti ambao siku ya kwanza tu mnaonana anaanza kukutangazia matatizo yanayo mkabili aidha yeye au familia yake hapo anaanza kukuchukulia...
  8. Damaso

    Sababu Tano unapaswa kujua body count ya Mpenzi Wako.

    Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao wa kimapenzi. Moja ya maswali ambayo mara nyingi hujengwa katika midahalo ya kimapenzi ni “Je...
  9. Carlos The Jackal

    Usimpe mkeo/mpenzi wako umaarufu kwa namna yoyote ile

    Yaan hata kama umeoa Pisikali , wee hakikisha haiwi maarufu Kwa namna yoyote uwezavyo. Ukimkuta ni Maarufu tayari yaan Kwa siku akipost kitu mitandaoni anapata Likes kuanzia 2K na comments kibao ,alafu ukiangalia hamna Cha maana anachopost zaidi ya mapicha picha tu , ACHANA NAYE.
  10. Shuku_

    Umetumia njia gani kujua mpenzi wako uliyenaye anafaa kuwa mzazi au mlenzi wa wanao?

    Habari zenu wakuu wa MMU 👋🏽 👋🏽 Kila mmoja wetu ana njia zake za kubaini jambo LILILOFANYIKA au LITAKALOFANYIKA kwa njia yake ya udadisi tu wa kibinadamu. Udadisi huo huja pale ambapo MMOJA wetu anaona mashaka kwa MWENZIE ili kubaini ukweli wa jambo fulani la nyuma au mbeleni kupitia njia yake...
  11. KENZY

    Kwasisi wanaume: Ukiona mpenzi wako hakuombagi tendo jua hujui kufanya vyema!

    Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!. wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho...
  12. sergio 5

    Jina gani la utani huwa unamuita mpenzi wako linaloshangaza

    Njooni hapa wakuu utuambie jina unalomuita mpenzi wako ambalo watu wakisikia lazima washangaa Uyu mpenzi wangu ni mzuri ana shape sura tabia tumekaa nae mahusianoni miaka miwili hili jina nilimpa baada ya kuona vyeti vyake vya O LEVEL and ADVANCE LEVEL akiwa na ufaulu mkubwa wa mathematics...
  13. KENZY

    Hivi mpenzi wako akikuacha bila taarifa ndo anakuwa anamaanisha nini?

    Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake? Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!, Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa...
  14. trojan92

    Ni kosa gani au kitu gani mpenzi wako akifanya lazima umpige chini hata kama unampenda kiasi gani?

    Wakuu habari.... Iko hivi nimelata hiyo maada hapa juu sababu naona huyu mwanamke ana kila dalili ya kutofaa/ sio wife material kabisa. Mimi ndiye niliyemnunulia simu na kumfungulia hizi akaunti za social media kama instagram na Facebook. Sasa huwa sina tabia ya kushika simu yake sababu...
  15. Satirical Yet Awesome

    Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

    Habari za weekend! Kuna baadhi ya maneno watu wetu wa karibu wakiongea huwa yanatuumiza sana, sometimes inapelekea kupoteza interest ya kujenga maisha na huyo mtu. Kuna mwanamke flani nilikuwa naye kwenye mahusiano takribani miaka 2, kuna siku bhana akaniuliza "hivi baby hata nikiolewa na mtu...
  16. Thabit Madai

    Unapompa mpenzi wako umbali, kiroho na kimwili, unampa shetani akae kwenye nafasi hiyo

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  17. Metronidazole 400mg

    Vipi? Umkute na nguo ya ndani umzue au bila bila mpenzi wako

    Wakati mnakubaliana kunyanduana hususani kwa mwanaume Kuna masharti ambayo unampa mpenzi wako pindi mnapokutana chumba Cha Siri awe amezingatia ili kukidhi matamanio Yako, kwa misingi ya kuongeza matamanio na hisia Kali za kimapenzi pindi mnapokutana. Moja wapo ni kuhusu nguo ya ndani ( Pichu )...
  18. MFALME WETU

    Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

    Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my...
  19. D

    Hebu tueleze jinsi uliyegombana naye alivyogeuka kuwa mpenzi wako baadae!

    Naanza Mimi. Imenitokea mara mbili; 1. Nilipigana kabisa na msichana flani tukiwa shule ya msingi (darasa la 6). Alinichongea kwa mwalimu nami nikamtafuta baadae na kuzibuana nae vibao; mitama miwili na vibao vitatu swaaafi kabisa vikamkuta. Nikaripotiwa tena na viranja nikaadhibiwa tena...
  20. Metronidazole 400mg

    Mtumie mpenzi wako text hii "it's over me and you " halafu screenshot tuone majibu yake

    Nimeichukua huko mjini X (zamani Twitter )
Back
Top Bottom