mpenzi wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zero Competition

    Huwa unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi wako ambaye umemchoka bila kumtamkia kwamba humtaki?

    Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano. Wengine huwatamkia waziwazi wapenzi wao kwamba waachane na wengine hupunguza tu mawasiliano mpaka mahusiano yanakufa kabisa. Binafsi ninapotaka kuachana na mwanamke...
  2. kilamba lamba

    Unamchukuliaje mpenzi wako ambaye anakujibu "shida yangu haikuhusu"

    Nawasalimu wana Jambi. Natumai mu wazima. Aiiisee! Nimekaa hapa kuna jambo kidogo limenipandisha hasira. Iko hivi , nimempigia manzi kwa kutegemea muda huu atakuwa home . lakini katika kumuuliza akaniambia ametoka kidogo . Ikabidi nimuulize , umeenda kufanya nini huko ulipoenda . Akanijibu kuna...
  3. frenderPH

    Namna gani ulitenganishwa na mpenzi wako wa utotoni?

    Wadau wangu wa JF natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya kujitaftia mfumo wa mkono kwenda kinywani kama kawaida mixer maVibe ya mechi ya leo Simba na Yanga sipati picha hahaha Anyway Pia nipende kuwapa pongezi mabinti wote wazuri watakao pitia uzi huu coz nyie ndio chachu ya...
  4. Brigadier Isaac

    Je, umewahi kufanyiwa visa kisa kumkatalia mtu kuwa mpenzi wako?

    Habari wa JF members. Leo nilikuwa nimekutana na rafiki yangu niliyewai soma naye shule moja hivi ambayo baadae nikaja kuhama tulikua tukielekezana habari za baada kutengana muda mrefu, baadaye mazungumzo yakahamia ishu moja kipindi nasoma iyo shule kabla sijahama ishu yenyewe ilikuwa inahusu...
  5. kilamba lamba

    Je, ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano ya mpenzi wako na EX wake?

    Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani. Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake? Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
  6. Ethan Cruz

    Ishara 9 za kutambua kama mpenzi wako anaku-control

    #1 Wakati wowote mnapokosana, ni wewe ndiye unayelaumiwa. Ukiwa na huyu mwanamke na kila wakati mkiwa mnagombana, mwisho lazima uchukue lawama hata kama kosa ulilofanya si lako. Na utapata mwanamke huyu ataushikilia msimamo wake na atatumia mbinu zozote zile kuhakikisha kuwa lawama inakuangukia...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Dunia iko kasi, zamani mnachati kwa meseji na mpenzi wako usiku kucha unasikia hisia mpaka rohoni

    Daaaahhh kuna vitu ukivikumbuka unaweza kulia. Dunia iko kasi sana. Enzi zetu mnachati na mpenzi wako kwa sms mpaka unahisi Mungu dunia aliiumba kwaajili yenu tu. Sasa hivi mkichati kidogo tu mnaombana vikojoleo, mkitumiana chatting inakata kwa siku hiyo mnasubiri siku nyingine. Mkichati siku...
  8. Bata batani

    Ni maneno gani matamu unaweza kumwambia mpenzi wako yakamfanya asisimuke na kukupenda?

    Kwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi. Kama unayo hebu tupia maneno matamu ya kumsisimuaa mpenzi wako kiasi kwamba akasisimka na kukupenda hatari.
  9. stritglow

    Jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi wako, au yeye alikuwa akikuita?

    Kwenye mapenzi kuna vionjo vingi, na moja ya vionjo hivyo ni kuitana pet names mbalimbali. Majina hayo yanaweza yakawa yale honey, dear, sweety, bae au yale ambao mmetungiana nyie wenyewe. So kama mada inavosema ni jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi/crush wako, au yeye alikuwa akikuita...
Back
Top Bottom