Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako..
Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana...
Habarini!
Aiseeee leo ni siku nyingine ila sio kama siku zingine hii ni siku maalumu ya watu wapendanao watu walio katika mapenzi acheni yale mapenzi ya Kirafiki au ya kindugu.
Tukiwa tunasubiri zawadi na wengine nahisi washapata tayari nataka tuambizane hapa ni kitu kipi alishakufanyia mpenzi...
Mapenzi ni furaha ukiwa na umpendae huku penzi likikolezwa kwa utamu wa muziki murua wenye kutikisa ala za huba, huku mtima wa moyo ukiwa umetulia tulii kama kiu kikali kikitulizwa na maji ya mtungi!
Ewe wangu laaziz sogea karibu yangu na uniimbie nyimbo hii mahususi
Ukiniongeza na hii...
Juzi kaniambia mwanasheria wa kampuni yao anamtongoza akanitumia na screenshot ya meseji na hio sio mara ya kwanza kuniambia nadhani ni ya nne wahusika wakiwa tofauti tofauti
Sasa najiuliza hiv huyu dem ananambia hivi ili iweje??anataka nikampge huyo anaemtongoza?au ananitambia tu ili kutishana...
Unajuwa hawa ma slay queen wanaovaa chupi mara moja kisha huitupa kwasababu hawawezi kufua, mimi huwa Naona wanaishi maisha feki sana kiasi kwamba ukisha gonga hutamani tena kukanyaga. Leo siwaongelei hawa, nawaongelea wale wenye wapenzi genuine.
Wapenzi mnapo omba kwa pamoja uwezo wa Nguni za...
Habarini!
Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu.
Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini?
Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane...
Habari.
Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto.
Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari. Hata akitumia katikati lazima alalamike hadi aivue tu, na hapo atakuahidi ata pull out ila hafanyi...
Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa zamani, tunakabiliwa na ukosefu wa amani ambao hatukuusababisha sisi.
Tunachumbiana na kuwa kwenye...
Ulimwengu wa sasa mapenzi yamekuwa ni biashara, mtu atajitokeza kuwa na wewe kwa sababu atanufaika na kitu fulani. Na hicho kitu kilichomvutia kikiisha au kupotea, uhusiano au mapenzi nayo yanakufa.
Atakayebaki na wewe katika majuto yako ya pesa, wadhifa, au umaarufu wako pale utakapoisha; ni...
Yaani una date na mdada fulani hajawahi kukuonyesha dalili yeyote ya kucheat wala hujapata aina yeyote ya ushaidi lakini moyo wako haumwamini hata kidogo unahisi tu sio mwaminifu, anaweza kuwa na simu yake mara kwa mara ukapekuwa kila kitu na bado tu moyo wako ukakwambia hapana kuna kitu hakipo...
Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:-
Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali
Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini
Anaweza kukuuliza kitu kisichokuwa na maana yoyote na ukahisi labda ana akili za kitoto
Anasahau sahau kitu...
Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh.
Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
Wasalaam JF,
Kuna binti nimetokea kuwa naye kwenye uhusiano miaka miwili sasa. Nampenda jinsi alivyotulia mpole , mstaarabu ,mcha Mungu na asivyo na tamaa hana makuu. Tatizo Academic exposure yake ipo chini sana , sizungumzii ile exposure ya Kidimbwi na Juliana.
Kifupi huyu binti amesoma na...
Wakuu habari,
Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?
Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila...
1.Ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subiri au usubiri au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake
2.Ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point
3.Ukiona mpenzi wako kipindi akiwa na shida huwa ana speed sana ya kukutafuta alafu shida ikiisha...
Natumai mu wazima sana.
Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli?
Ukweli ni kwamba mkiachana. Sio kwamba mmeachana. Ni kama mme pumzishana
Sasa akitokea ni mwanamke ameringa kabisa
Cha kufanya
1. FUTA namba yake ya What's App asione Picha zako
2. Kama ulimfollow . Mu unfollow chap chap alafu mblock
3. Kama ulikua na mchongo una. Fanya, utaona pole pole...
Heshima kwenu wakubwa na wadogo
Katika ulimwengu wa sita kwa sita binadamu huwa tunakua wadhaifu sana na inafikia wakati kutokana na raha ya tendo unaweza muhaidi mpenzi wako kwamba utampatia vitu flani ambavyo kiuhalisia wala huna uwezo navyo na yote hii husababishwa na zile raha tuzipatazo...
Hawa viumbe wanamajaribu sana. Mtu anajua kabisa huna mahala pa kupiga mzigo zaidi yake. Unamuita kwa geto ili upige shoo. Anakuja na anadai hawezi kukupa tena anadai kiuno ndio kipo hoi.
Huyu mtu kweli ni muaminifu? Hicho kiuno kuumwa kinaumwa bila shoo ya pembeni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.