Sikuwahi kupenda hivi kama ninavyokupenda wewe. Hisia zangu juu yako hazipimiki Kama usivyoweza kuupima ulimwengu!,umekuwa ukitikisa hisia zangu pindi nisikiapo sauti yako tamu. Hakika nimepata mpenzi nakuahidi kukutunza na kukuimbia utenzi.
Tabasamu lako hunimulika na kuuona uzuri wako!,si tu...