Salamu za Januari wajumbe,
Miaka ile ya ujinga, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, mahusiano yalinoga haswa kuna wakati nikadhani kabisa kuwa sasa huyu atakuwa mke na mama wa watoto wangu.
Binti mweupe, sura na haiba ya kike, mwili wa wastani, kiuno kimejitenga vyema kama kisiwa cha Mbudya...
Hellow guys kuna kitu nilikuwa nahitaji ushauli kidogo niko katika mahusiano na binti mmoja mdogo hatuna muda sana katika mahusiano yetu lakin ukweli nampenda sana na nahisi nae ananipenda tatizo ni Baada ya muda katika mahusiano Baada ya kuwa nataka tufanye mapenzi alikuwa akini fanyia...
Kwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
Habari wanajukwaa nimemtolea mdada uvivu jana nikamchana mazima kama inavyojieleza hapo juu, nikuita Kwa huu mwaliko nakutaka uwe mpenzi wangu karibu Kwa maswali au ujumbe wowote unajieleza kwa uhuru wa kikatiba. Karibu jisikie huru sinaga ubabaifu so be free. Mdada akapagawa hajaamini akapatwa...
Sielewi mda huu tumetoka kugombana, huyu ni mchumba wangu na nimke wangu mtarajiwa, nilikuwa safari South Sudan nimerudi leo kwakushtukiza maana nilimwambia narudi kesho kutwa.
Sasa nilipo fika nilimkuta kibarazani anapika aliponiona tu akahamaki uzuri mlango wa chumba chake ulikuwa wazi mimi...
Habarini wana JF,
Leo nimeamua kushare na nyie jambo linaloniumiza sana sana, mimi ni jinsia Ke. Nilikua na mahusiano na mwanaume niliyempenda lakini amekua akipenda mchezo huo mchafu.
Nakumbuka nilikua ninamkatalia ila sijui ni shetani ilifika siku nilimkubalia, nadhani tumefanya sasa ni...
Habari za asubuhi wana jamvi,
Nimeamua sasa nililete kwenu mwaeza nipo ushari namna ya kulitatua suala hili.
Ni hivi mimi nina mpenzi wangu wa kike yapita mwaka sasa ananipenda nami na mpenda kweli shida inakuja pale tukitoka kwa jili ya mgegedo mwenzangu huwa anapendeza sana kote lakini...
Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije...
Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu.
Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo.
Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado...
Nilianza mahusiano na huyu binti mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili. Mwaka 2019 Nikiwa semester ya mwisho kabla ya kumaliza chuo nilipata supplementary ambayo mwalimu alichelewa kutoa matokeo, akaja kutoa siku moja kabla ya graduation hivyo jina langu halikuwepo kwenye list ya graduates...
Kuna kosa nilimkosea mpenzi wangu la kutumwambia ukweli kwa baadhi vitu vyangu hivyo baada ya muda aligundua nilikuwa namdanganya
Since alivyogundua amekuwa mkali kwangu mkorofi lakini pia lililonistua zaidi ni matumizi ya lugha ya matusi ambayo Imenifanya nione rangi zake halisia
Licha ya...
Ndugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri.
Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda akichokwa na tabia zako na akafanya maamuzi ya kuvunja uhusiano, na wakati bado unamuhitaji...
Ndugu wanajamvi nawasalimu!
Niliwahi kuleta uzi humu kuwa nilimuacha mchumba wangu nilipogundua aliwahi kutoa mimba. Mimba zaidi ya tatu akiwa chuo kikuu. Amefika kufanya fujo nyumbanu last week huku akizusha vitu ambavyo si vya kweli. Anasema nina mtoto naye wa miaka 2 kitu ambacho ni uongo...
Tofauti alivyokuwa mwanzo na sasa kiukweli kuna dalili nimegundua mahaba na penzi nililokuwa nakipata toka kwa mpenzi wangu limeshakufa yaani kuna dalili zinaonesha hapa tiyali nimechokwa lile vibe la treatiwa kama mpenzi limeshakufa yamebaki tuu mazoea tuu.
Kuna time naamua kulianzisha lile...
Nikiwa sina hili wala lile kwa siku hii iliyoanza vyema kuliko ilivyokuwa kwa siku mbili nyuma ambazo kiukweli ni ngumu kuzielezea lakini itoshe kusema zilikuwa mbaya sana. Asbuhi ikakucha huku ikionesha utofauti si unafahamu kuwa siku njema uonekana asbuhi basi na mimi niliweza kuiona kuwa siku...
Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote.
Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
Hivi inakuaje unaekeana appointment na mwanamke wewe upo kazini anakuambia ameshatangulia sehemu husika halafu hiyo ndio mara ya kwanza kukutana kwa ajili ya show.
Manzi anakupa location unachukua usafiri wako unaibuka mara ghafla mtu kashatangulia reception kubook chumba alaf ni hotelini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.