Habari wana Jamvi,
Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo.
Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya tendo na kuwa na wasi wasi mwingi mno hadi muda mwingine ananikwepa kunipa penzi...uhusiano wetu ni...
Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3.. sasa juzi kaniambia anahisi ana mimba maana hajazion siku zake.
Nikamtumia pesa aende hosptal...
Hii wiki Niko very happy ngoja niwape kisa nilivyoachwa na mpenz wangu wa kwanza😃😃
Miaka mingi nyuma nilikuwa na rafikiyangu ambae ni jirani yetu pia alinizi kama miaka miwil umri, alikuwa anansoma shule ya boarding hivo tulikuwa tunaonana kipindi cha likizo.
Rafik yangu alikuwa ni wale...
Leo atakwambia hivi kesho litatokea lile.
Leo atakuambia ubebe pochi yake, kesho atakuambia umuogeshe
Leo atakupiga kiatu, kesho atakunyima tendo.
Leo atataka kula hiki, kesho atataka kile.
Sasa ananipangia siku za kufanya tendo
Tatizo anasema ninamfaidi sana, kwa sababu natumia muda mwingi bila...
Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka.
Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa mapigo ya kichokozi chokozi, lengo ni kuniamsha hisia ili niweze kusamehe na kusonga mbele.
Mimi...
Habari za wekeend wakuu,
Wakuu naombeni ushauri wenu nina mpenzi wangu nipo kwenye mahusiano nae tangu shule ya msingi, tulivyomaliza O level mimi nikaenda Dar kutafuta maisha na mawasiliano yakakata kutokana na sababu mbali mbali
Nimekaa Dar miaka 6 ndiyo nikarudi mkoani kwangu nikamkuta...
Hello JF natumai mko poa.
Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa.
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi yao kitengo alichopo nikaanza kazi.
Kinacho nichanganya anapenda...
Kwema wakuu??
Mimi ni kijana mwenye miaka 28. Nipo kwenye uhusiano na binti mmoja yeye ana miaka 22, na tuna mtoto mmoja ana miezi 9 sasa. Sababu ya kuandika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya tabia ya ukimya uliopitiliza kwa huyu Baby mama wangu kwa sababu, I wish nifunge nae ndoa kabisa lakn...
Katika pitapita kwenye maeneo ya ofisi ya mpenzi wangu, nikasikia wananiteta, ''kimburu wangu ananivuruga kweli, hataki kutulia na mimi, kila wakati ni migogoro tu''
Wenzie wakamuuliza, kimburu ndio nani; ndipo aliponitaja equation x.
Baada ya kusikia hayo maneno, hata sikuingia ofisini kwake...
Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda akaomba msamaha ila mawasiliano yalikuwa hafifu juzi mwezi huu wa 7 nilimpa taarifa kuwa nitakuwa...
Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...
Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe tabu, nikaenda kulanduka na Serengeti lager kama 5 hivi, kisha nikampigia simu!
Nikajua hata atakuja...
Kuna mrembo mmoja nilitokea kumpenda, na katika harakati ikapelekea tukapata mtoto naye.
Nilimpenda kutokana na muonekano wake, achilia mbali ni mtu anayependa sana mambo ya urembo urembo.
Pia ni mtu mwenye tabia ya kujisifia sifia, na kuniona mimi kama mtu mwenye bahati kwa kuwa naye.
Kuna...
Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani.
Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu...
Kwa hapa au Hii stage niliyofikia sisikiii la mtu Wowote maana mpenzi anayonipaa mpenzi wangu kokubanza wa nyaishozi ni raha ndugu Zangu wa jamii forum vp na wewe mdau umewahi kupendwa na binti wa kihaya? Asikuambie mtu hawa Wanawake wa kihaya wanajua kupenda Sana aisee sio Kama hao mademu wenu...
Guys nilifanya hivi:
Nilituma 50,000 kwa mama. Then nikatuma 50,000 kwa Girlfriend.
Majibu yalikuwa hivi
MAMA: Asante sana baba ubarikiwe sana
GF: Hii hela hata haitoshi maana nina mambo mengi.
VIJANA KAMA SIO MKE WAKO ACHA KUJIFANYA UNAHUDUMIA, HAVINA SHUKRANI HIVI VIUMBE.
NB: Kwa GF...
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake.
Binafsi nampenda sana na hii ni...
Mwezi na tarehe kama ya leo last year niliachwa na mpenzi wangu wa kinyaturu kisa kilikuwa cha kijinga sana eti boksa zangu ni za vitenge..
Sasa yeye sijui alitaka niwe na boksa zipi maana kipindi hiko nilikuwa fundi cherehani so vipannde vya vitenge vilivyokuwa vinabaki nilijitengenezea boksa...
"Money Penny buana, nadhani nimepata true love,
Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii,
Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex
Nilipokuwa kifuani kwa mpenzi wangu, nilikutana na kitu cha ajabu, kwanza kifua cha mpenzi wangu kimejaa, nimeweza kuweka...
Binafsi hata mimi sikuwa na malengo naye, nilitaka ku-hit and run. Hakuna mtu aliyefahamu kuwa nilimuomba kudet nae, ilikuwa ni siri, maake muonekano wake ni aibu tupu. Nimeshangaa sana kumuona anatamka kuwa hana mtu mbele ya hadhira baada ya kuona tabasamu la jibaba lenye miraba minne na...
Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye mahusiano naye nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza kama mwanaume mwingine huwa wanakubalii kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.