Umufia kwenu wakuu,
Kwa muda mrefu nilikuwa na uhitaji wa kuoa, ila nilikuwa na ugumu wa kumpata mwanamke. Katika harakati za hapa na pale mwaka huu nikampata mtu nikasema hiki chuma nakiweka ndani. Ila sijamwambia kama nataka kumuweka ndani.
Hata hivyo nilikuwa na harakati za hapa na pale...
Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe.
Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba...
Wakuu naomba mnipe msaada wa mawazo maana tunatofautiana experience humu ndani.
Nilikua na mpenzi tuliyedumu naye miaka mingi kidogo kama miaka mitano kama wapenzi, nilimfahamu nilipokua form five mpaka namaliza chuo tulikua pamoja, baada ya kumaliza chuo nilimpa huyu binti mimba, alinipa...
Daah ama kweli ule usemi wa fear woman una ukweli.
Nilikua na mpenzi wangu mashallaah navimba naye kitaa. Mtoto kachanganyia mama mmoroni baba mbongo mweupeee. Full kuvimba naye mtaani kama hamo vile.
Siku zinakatika kila siku ananihimiza nimwoe wakati mi mpango sina, (nakula kisela).
Si...
Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025
Nimekaa chini nimefikiria...
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa.
Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo...
Nimejikuta nikijiuliza maswali mengi sana. Mida ya asubuhi wakati tunaelekea kazini tumekutana na baba mmoja akiwa anauza madodoki ya kuogea.
Mara nashangaa anaitwa na kuanza kuhojiwa ubora wa dodoki hilo. Kama masihara, huyo mwanamke kalinunua na kulitia kwenye kifuko cha shing'mia. Wakati wa...
Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi.
Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona...
Kiufupi kala loss ya ajabu kuwahi kuwepo duniani
Kadamkia matunda ya Tsh. 30k Mabibo, kayakata kata yote ili atengeneze dry fruti. Kafungasha take away 50, lakini hakupata wateja kabisa. Matunda yangeharibika. Kanipigia simu huku analia na kuniambia tayari keshawagawia majirani
Other Cost...
kwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza 🙏
Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri kuhusu mpenzi wangu aliegoma kuacha bangi wakati wa ujauzito, nilifanikiwa kudeal nae baada ya kuamua...
Iliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina Tsh 100,000 nikamtumia. Hakusema hata amepokea, akanyamaza tu.
Ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah, akapokea simu nikamuuliza "umeona kuna...
Kuna binti mmoja nilipata kujuana nae baada ya kukutana kwenye kazi ya muda ambayo tuliifanya kwa muda wa miezi 6.
Baada ya ile kazi kuisha kila mtu aliendelea na harakati zake zingine lakini bado tulikuwa tutawasiliana mara mojamoja.
Kuna siku alinitumia link ya group la ajira lakini...
Habari za sahizi keyboard masters..
Ni muda sasa nimekuwa kwenye mahusiano na huyu mrembo kutoka huko kaskazini, tulikutana chuo tukiwa classmates ila rasmi mahusiano yetu yalianza tukiwa mwaka wa pili semester ya kwanza.
Kipindi chote hicho sikuwahi kugundua kuwa anatumia sigara wala bangi...
Doh, najuta kutoa email yangu
Maana ndio mvua za maswali kama haya,
Money Penny, me Nina mpenzi wangu nampenda Sana, lakini ana tatizo moja Tu
Money Penny: Tatizo gani?
Kijana: anapenda Sana kucheka, Yani akikutana na kitu kinachekesha, hapo mjipange DK 10 mpaka 15 anacheka yeye tu.
Money...
Kumekucha
Ila fans wangu mnajua sana kunipa Raha na kucheka
Jana nimepata kero Kwa mrembo mmoja Kwa email yangu, anasema kuwa
"Simu ya mpenzi wake, haina AMSHA AMSHA
Haina ex anaemsumbua
Madeni wanaomsumbua
Wadada, mijimama inayomsumbua
Contact ya simu yake imejaa Marafiki zake WA KIUME...
Habari wana Jf
Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!
Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana alikuwa na kila sifa nilizohitaji; Sura, Tako + Mguu wa bia. Basi mwanaume nikamtongoza binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.