Mimi nipo kwenye mahusiano na mwanaume yapata miaka mitatu, kabla sijamkubalia alikuwa muda mwingi tunawasiliana ila nilipoanza nae mahusiano tu alibadilika; akawa bize muda mwingi na akipata mapumziko atatumia kuangalia mpira tu.
Hatuishi mbali sana ila kuonana inaweza pita mwezi mzima...
"Hakuna watu wanafiki huku Duniani kama Marafiki WA mpenzi wangu (mashemeji WA KIUME)
Wanajua ubaya, siri, dhambi nyingi anazofanya mpenzi wangu lakini watakunafiki mwanzo mwisho😱
Wakikuona Tu wanakusalimia, shemeeejiiii, au shemeji wewe
Woi 🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Mashemeji popote mlipo Mungu atawachoma na...
Huyu mpenzi wangu simuelewi kabisa, tangu mchana leo amekuwa mkali kweli na ananiangalia kwa jicho la hasira.
Na ameanza kubadilika baada ya kuniona nakula nazi mbichi tatu, mihogo mibichi sita, na sasa namalizia karanga mbichi sado moja.
Sasa sijui, hapendi nile vitu vya asili; au anataka...
Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.
Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000.
Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa...
Baada ya kuhamishiwa mkoani dar kikazi siku moja nikiwa kwenye gari yangu nikavutiwa na binti mmoja kituoni alipokuwa amesimama nikampa lift kuanzia hapo tukazoeana na mwisho akapajua home napokaa.
Sasa nipo naye hapa napokaa wiki inaenda ya tano hivi yaani ni pika pakua but anafanya kazi huko...
Haya mnaolipwa laki 2 naomba mje mumsaidie dada WA watu amekwama huku?
Kwan skuhizi mishahara inaanzia TSH ngap wajameni au ndio vita ya Eukran na Russia imebana Kila kitu mpaka mishahara?
Jamani TSH 200,000 ndio anapewa Benki ishakatwa makodi yote
Ps:
Mpenzi wake nI mwanaume jamaa, sio...
Uzi mama Uzi unajieleza
Usiniletee mbambamba sijui maswali sijui picha mambo ya kitoto
Hapa FANYA Tu kumsaidia kikojozi afanyaje na anaekojolewa afanyaje?
Kama ni maombi alishaenda kama mafuta ya mwamposa alishapaka, nabii alishamwombea, mfungo alishafunga ila dada etu anajikojolea...
Wana MMU naombeni mnipe tu pole.
Mie ni mtu nisiyeumizwa na mambo ya mahaba, lakini nashangaa kuona huyu single mother niliyekutana nae kwenye pilika za maisha mkoani Mbeya, anaolewa 😥.
Huyu single mother mie nilikuwa ni msafiri na mpitaji ili nililazimika kukaa baada ya kusema amenasa...
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri
Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi
Money penny: kwahiyo unasemaje?
Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa...
Chai ni tamu ikiwa ya moto, ikipoa sasa umeme na gesi vyote vikawa vimeisha ndio utajua hujui.
Haya sasa, kwa mnaonifahamu ingawa mimi sio mwamba.
Msaidieni mwenzenu apashe kiporo au?
Habari waungwana!
Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane .
Vigezo alivonivutia
1.Mwanadada ni muwazi kupitiliza sijui umuulize nini ajibu uongo...
Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli
Tukaendelea
Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
Wakuu,
Kichwa kinajieleza. Wamakonde wanasika kwa haya mambo, sasa namtafutia manzi wangu kungwi wa uhakika aongeze ujuzi.
Mambo ya jando na unyago yapo kwenye makabila machache sana ikiwepo hawa wamakonde nadhani, sasa wenye tuna wapenzi hawana hizo mambo tunakosa vitu, natamani huyu...
Mmelala? Basi amkeni tutete hili, nina mwanamke niko nae katika mahusiano, amepanga na mie naishi kwangu. Kiuhalisia hali yake kiuchumi haiko poa hivyo tangu niwe nae nimekuwa najitahidi sana asijihisi yuko peke yake hasa kiuchumi.
Wakati naanza nae alikuwa anafumga nywele miezi hata 4 bila...
Habari za saa hii wana Jf
Naomba msaada wenu wa mawazo juu ya swala hili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza;
kwa miezi mi3 hii nmekua na mahusiano ya kimapenzi na kijana karibu na maeneo ninayoishi,
Mimi binti wa 28 yrs Mpenzi ana 38 aliwahi kuishi na mwanamke kwa miaka kadhaa zamani...
Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu.
Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga.
Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia...
Hello family,
Nisaidieni tafsiri ya ndoto hii nimeota mpenzi wangu Irene mtoto wa Hedaru mwenye Babu na Bibi wa huko Gonja Kighale amejifungua mapacha wote wa kike, ni mpenzi wangu miezi sita sasa, wakati huu hana mimba imekuwaje nimeota hio ndoto ya namna hii?
Saidieni tafadhari tujenge...
Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa shoo kabambe, mpaka kidume nikasema kimoyo moyo hapa kweli nimepata mke.
Sasa tangu juzi, amekuwa...
Siku moja, nimejichokea zangu mida ya saa nne usiku, nikaamua niende 'club' nikapate 'vibe' la kule ili niweze kuondoa 'stress' za maisha.
Muhudumu akaniletea bia zangu tano za kuanzia, nikazinyonya zote zikaisha; akaniongeza tena zingine. Baada ya kufika ya nane, akili ikahama, nikajiuliza kwa...
1. Imelala yoo mwamvuli nitaelezea kdogo kuhusu hilo,umuhimu wake kwangu namsamini sana wala sio muongo na ananijali sana tu.mungu amlinde amweke daima anichunge mimi wake,sitamwacha hata iweje kwan nampenda sana kuliko chochote kilichopo nyumbani kwangu. Nnaishi nae kwangu mm nambalikia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.