Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Luhanga Mpina, ameibuka na kutoa tuhuma nzito dhidi ya Serikali, vyombo vya dola na taasisi za uchaguzi, akidai kuwapo kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, mauaji na uonevu uliodaiwa kutokea wakati wa uchaguzi na maandamano...