mpina vs bashe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

    Wakili Makore ambaye ni miongoni mwa Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina waliokuwa mstari wa mbele kumsimamia kwenye kesi aliyokuwa ameifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania ,Waziri wa Kilimo na Mwanasheria Mkuu wa...
  2. dr namugari

    Luhaga Mpina aungana na Bashe na kutuacha midomo wazi wakati sisi tulitaka huu mgogoro udumu milele

    Hawa wanasiasa wa Tanzania siyo wa kuwaamini embu imagine Luaga Mpina alivyo mkanga Bashe na sisi wananchi tukaapa kumsapoti ila ajabu Leo waziri bashe amefanya ziara kisesa na kupokelewa na umati mkubwa ya watu wa kisesa pamoja na mbunge wao Luaga Mpina Luaga Mpina ametupa sisi wakati mgumu...
  3. S

    Tetesi: Waziri Bashe kujiuzulu muda wowote kumfuata Kinana

    Ziko taarifa kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe anatajia kujiuzulu wadhifa wake wakati wowote kuanzia sasa kumfuata mjomba wake Kinana aliyejiuzulu jana. Sababu zinazotajwa ni kutokana na kuandamwa na kashfa ya sukari ambayo imeshindikana kuzimika licha ya kutumia fedha nyingi kununua...
  4. S

    Mawakili 18 waomba kusimamia kesi ya Mpina

    PIA SOMA - Wakili Mwabukusi kumsindikiza mh Mpina atakapoenda Kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Maadili
  5. Nehemia Kilave

    Mawakili 18 waomba kusimamia kesi ya Mpina kuwashitaki Bashe na Spika wa Bunge

    Kumekucha Muwe na weekend njema Pia soma Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
  6. S

    Viongozi wa Dini wamtetea Luhaga Mpina

  7. Cute Wife

    Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

    Luhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya bunge. Kusoma taarifa hiyo zaidi ingia kwenye link hii: Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge...
  8. Cute Wife

    Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

    Wakuu, Luhaga Mpina alipewa adhabu na Bunge Juni 24, 2024 baada ya kwenda kinyume kwa kuwasilisha taarifa yake kwa wananchi mara baada ya kuikabidhi katika Kamaati ya Bunge. Zaidi soma - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15 Usiku huu tukio linarushwa...
  9. K

    Daima mimi nitasimama upande wa Luhaga Mpina

    Mbunge Luhaga Mpina amesimamishwa kushiriki vikao kumi na tano vya Bunge, lakini mimi nitasimama upande wake daima. Mpina ni mtoa taarifa muhimu kuhusu jambo ambalo wengi hawalijui, na hivyo ingekuwa vyema Bunge likaunda Kamati ya kuchunguza ukweli wa jambo hili. Je, inakuwaje Waziri Bashe...
  10. S

    Pre GE2025 Operation Safisha Bunge 2025

    Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu. Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu wa mbunge aliyehoji Kampuni isiyoweza kukopesheka hata mkopo wa million 5 kupewa kibali cha kuagiza...
  11. Bams

    Hongera Mpina, hoja yako imeeleweka vyema kwa Wananchi Wazalendo

    Kilichotokea kwa Mpina Bungeni, ni kile kilichotarajiwa. Na wala hakuna anayeyashangaa maamuzi ya Bunge, zao la uovu wa 2020. Bunge ambalo nalo ni matunda uovu na uchafu wa mwaka 2020, limeendelea kudumu katika kanuni ya upatikanaji wake. Ni Bunge la waovu: 1) Mahakama kuu ilitoa hukumu kuwa...
  12. BLACK MOVEMENT

    Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, ni bora wakae kimya

    Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi. Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti...
  13. kisepi

    Kwanini Bashe anatetewa hivi bungeni? Je, sukari bei imeshuka?

    Sukari ipo? Je, ni bei gani mtaani? PIA SOMA - LIVE - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina
  14. Stuxnet

    Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

    Kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge #84 (3) (a) ya mwaka 2023 amekutwa na hatia na Kamati ya Hadhi na Madaraka ya Bunge. Tuendelee kufuatilia bunge ≈===================== "Mheshimiwa Luhaga Mpina (Mbunge wa Kisesa) alimtuhumu Mheshimiwa Waziri (Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo) kuwa amelidanganya...
  15. Cute Wife

    Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Spika Tulia anataka kuzuia kilichoibuliwa na Mpina kisijadiliwe na bunge wala wananchi, aache mijadala ifanyike

    Katika mahojiano yake na mwandishi wa Habari Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi, Joseph Selaasini amesema; "Mpina aliliona hili, sababu alikuwa akipata upinzani wakati anaongelea suala hili bungeni, sio tu kutoka kwa spika bali hata kutoka kwa wabunge wenzake. Kwa maslahi ya nchi aliona alipeleke...
  16. J

    Maswali ya kujiuliza kuhusu madalali wa sukari Tanzania

    MASWALI YA KUJIULIZA KUHUSU MADALALI WA SUKARI TANZANIA Sugar Catels wamechachamaa, wanatumia kila mbinu ili wafanikiwe kubaki na 'monopoly right' ya kuamua bei ya sukari iweje nchini Maswali ya kujiuliza; 1. Kwanini wanalipa watu mamilioni ili kujaribu kukwamisha mabadiliko ya sheria ya...
  17. GENTAMYCINE

    Mpina nakuonya usitafute sifa kwa Watanzania kwani wengiwao ni wanafiki na waongo, baadaye watakucheka

    Ushauri wangu Kwako endelea na Ubunge wako, piga Hela, Wekeza, ukipata nafasi ya Kuiba Iba au Piga Dili ili baadae Wewe na Familia yako mje kuishi vyema. Watanzania hawabebeki na hasa hawa ambao leo unaona wanajifanya Kukupa Sapoti ni Wanafiki, Waongo na Waoga yakikukuta watakugeuka na...
  18. K

    Napendekeza Waziri Bashe akae pembeni kwanza ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Madudu yaliyoibuliwa na Mpina yanatisha na kutukatisha tamaa na kutowaamini viongozi wetu tuliowachagua ili watatue kero zetu. Tunamtaka kwanza Bashe akae pembeni ili kupisha uchunguzi. Kuendelea kukaa kwenye ile ofisi mimi nitamshangaa sana Mteule wake. PIA SOMA - FULL TEXT: Maelezo ya...
  19. Hardbody

    Sakata la Mpina na Waziri Bashe, nilivyoelewa kwa Lugha Rahisi

    Hili sakata wakati nasoma uzi humu kwa mara ya kwanza nilikuwa sijalielewa lilivyo. Nikasema acha nizame U-tube kujua likovipi ndio nikapata kuelewa mwanzo, kati na mwisho ulivyo hebu twende pamoja kwa ambaye hajaelewa kama mimi kwa Lugha nyepesi Iko hivi waziri wa kilimo wakati anawasilisha...
  20. J

    Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

    Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali. Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu. Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge...
Back
Top Bottom