mpina

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Pre GE2025 Luhaga Mpina: Unakuta waziri mwizi, katibu mkuu mwizi ukimbana kwenye wizi anasema wewe huipendi CCM

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani...
  2. Mpina yuko wapi?

    LUHAGA MPINA yuko wapi? tangu amezungumza na watanzania hotuba ya masaa 7 kuhusu mambo ya Kodi na kuibua madudu kila sekta hajaonekana hadharani hadi sasa Je yuko wapi?
  3. Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote . Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa. Ila...
  4. Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

    Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
  5. Pre GE2025 2025 CHADEMA kumsimamisha Luhanga Mpina?

    Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July - Oct 2025. Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe. Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha bendera yao. Hii siasa imeka mkao wa kibabe sana ukizingatia Mpina ni Team JPM damu damu. Bado...
  6. David Kafulila: Hakuna siku Serikali itaacha kukopa kwani hata Marekani na China nao wanakopa zaidi ya Tanzania

    === Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania, Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
  7. Wananchi kisesa wacharuka baada ya mkandarasi feki kudakwa na mpina, wamtwanga za uso

  8. Hotuba ya masaa 7 mfululizo ya Luhaga Mpina ina ujumbe gani kwa watanzania?

    LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
  9. Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali

    Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
  10. Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

    Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo. Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA. Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
  11. Mpina: Misamaha holela ya Kodi ni Wizi, Serikali inapoteza Mapato kwa Upendeleo

    Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya wafanyabiashara na watumishi wa Serikali. Mbunge huyo ameeleza kuwa inashangaza misamaha hiyo inayotolewa kwa...
  12. Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu. Mpina ametoa kauli hiyo wakati akiwa ziarani jimboni humo ambapo amebaini ubadhirifu wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule...
  13. D

    Siasa ni akili sana. Akina bashiru, polepole, palamagamba nk wamemtumia mpina kuushale utawala wa Samia mwishowe kapotea mazima.

    Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali kufurahi mtu anapotumbuliwa ili afanane na wao. Mama aligundua hilo akaamua kufanya divide and rule...
  14. Miradi ya EPC+F yamuondoa Waziri Bashungwa Ujenzi, Mpina alionya mikataba hii miaka 2 iliyopita akapuuzwa

    MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024 https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023 https://youtu.be/xFIULsHcw8o?si=b7d9zumzL3OvPb0e SIKILIZA HII HAPA SIKU YA KUSAINI MKATABA WA EPC+F TAREHE 17 Jun...
  15. Mwigulu amjibu Mpina Bungeni kuhusu DP World kukusanya Kodi Bandarini, Mpina afuta kauli

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) amemjibu Mbunge wa Kisesa Luhaga, Joelson Mpina kuhusu hoja ya DP World kukusanya kodi akieleza kuwa amelidanganya Bunge, jambo lililosababaisha Mbunge huyo kuomba radhi na kufuta kauli. Dkt.Nchemba amesema hakuna taasisi au kampuni...
  16. R

    Kwa KATIBA hii ya sasa, hakuna Jaji anayeweza kutoa maamuzi ya haki hasa pale "anapopigiwa simu" na EXECUTIVE

    1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm 2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam. 3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika...
  17. Nakubaliana na Mpina Bashe na Mwigulu Wasimamishwe Kazi kesi zikiendelea mahakamani

    Nimesikiliza hoja za Mpina kuomba Mahakama iwasimamishe kazi Bashe na Mwigulu kupisha kesi zinazoendelea Mahakamani mimi nakubaliana naye kwa sehemu kubwa. Hebu Msikilize hapa Bashe baada ya kupelekwa Mahakamani na Mpina kwenye kashfa ya Sukari. https://youtu.be/LaM87hfLZWg?si=FAd5QAqQCiid8EUv
  18. Nani anamfadhili Luhaga Mpina? aweka mawakili 100 kupambana na CCM na serikali, haipungui bilioni moja. Anapinga sukari kushuka kutoka 5000 mpaka 2300

    Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?. Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei...
  19. S

    Mawakili wa Mpina walivyoijibu Serikali kesi aliyomfungulia Spika, Waziri wa Kilimo

    Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi hilo halina mashiko na wakaiomba Mahakama ilitupilie mbali. Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Mpina...
  20. Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…