Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.
Tafadhali naomba mwana JamiiForums yoyote mwenye ule Wimbo uitwao SIRI IMEFICHUKA nadhani uliimbwa na Chidumule au Remmy ( sina uhakika sana na Mtunzi ) aniwekee hapa ili si tu Niusikilize bali pia Niserebuke nao.
Nami nataka kwenda Studio ili nije na hiki Kibao changu ( huu Wimbo wangu )...
Luhaga Mpina ni mtu nondo kweli.
Ni mbunge mjenga hoja na mwana mapinduzi kweli kweli
Hata alivokuwa waziri wa uvuvi na mifugo alikuwa Nondo na alifanya vyema kuzidi huyu wa Sasa.
Alikomesha uvuvi haramu, alikomesha uharamia ziwa Victoria ambapo wavuvi walikuwa sana na kuibiwa engine za boat ⛵...
Mh. Spika, kwa nini unataka kumlinda mwizi kwa kumfunga aliyetoa taarifa za wizi?
Watanzania wa sasa wana akili na wanaelewa unachotaka kukifanya.
Tunataka kwanza hoja za Mpina zijibiwe barabara ndipo uje na hizo hoja zako dhaifu dhidi ya Mpina.
Ndio! lilianza sakata la report ya CAG-mabilioni yamepigwa na uthibitisho wa ukaguzi ukawekwa wazi, bunge wawakilishiwetu wakanyamaza. Kama haitoshi wakamuita CAG kwenye wanayoiita mahakama yao kujibu hoja kwa nini ameibua madudu yao na anasema ukweli kuhusu udhaifu wao hadharani, CAG...
Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM.
Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo.
Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
Wala haihitaji akili kubwa sana kuona kwamba Spika wa Bunge Tulia na jopo zima la uongozi wa serikali wametambua kwamba Mpina amewaumbua kwa kuweka wazi uongo wanaoufanya kuwahadaa Watanzania. Na sasa wanataka kubadilisha uzito wa tuhuma za uongo wa Waziri Bashe na kuelekeza fikra kwa ukiukwaji...
Wewe ni mbunge mzoefu sana bungeni, unajua utaratibu wa bunge wala sihitaji kuiufundisha, umekuwa Waziri kwa vipindi tofauti, watu wa Kilwa Kivinje wana hasira sana na ww ulipoenda kukamata nyavu zao na kuzichoma, enzi hizo ukiwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo.
Umepewa nondo feki na wafanyabiashara...
Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand...
Salaam, Shalom!!
Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili?
Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania?
Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya...
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu.
Akitangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 18, 2024 Dk Tulia amesema kuwa Mpina amedharau mamlaka ya Spika na Bunge...
Najaribu kukumbuka tu. Katika historia ya bunge letu, hakujawahi kutokea mbunge kama Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mbunge wa Kwela mkoani Rukwa.
Sio tu kwamba ni mbunge aliyekaa bungeni kwa miaka 45, bali alipelekea mawaziri kadhaa kujiuzulu kubwa ikiwa ni kashfa ya Sukari.
Mpina sio mbunge...
Wadau hamjamboni nyote?
Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa?
Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu?
Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea?
Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali...
1. Kwasasa hakuna upinzani wa kweli, upinzani wa kweli uchangia ustawi na Maendeleo. Ninyi mnaonekana kuwa wapambanaji huru , mtakuwa na Chama imara kama Umkontho We Sizwe Cha Zuma
2. CHADEMA (mbowe) au act wazalendo (Zitto) vimeshakula nyama ya mtu haviwezi kuacha. Ndio maana hata act...
Mheshimiwa Spika, awali ya yote nianze kwa kumpongeza Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) kwa uwasilishaji wake mzuri wa hotuba yake ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka 2024/2025.
Mheshimiwa Spika, Niwapongeze Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za...
Mheshimiwa Spika, Awali ya yote naomba nimpongeze Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuph Makamba (Mb) Naibu Mawaziri, Makatibu Mkuu na watumishi wengine wa Wizara kwa hotuba nzuri yenye taarifa muhimu za kutuwezesha waheshimiwa wabunge kujadili na kufanya...
Mpina anapotaka kutoa hoja zake/michango Bungeni huwa anajipanga sana na anautoa kwa ufasaha na kwa mtiririko ambao hata msilizaji utaupenda. Juzi alipochangia hoja kwenye Wizara ya Viwanda akisema kuwa kama tumesamehe kodi kwenye eneo fulani basi ni budi mwaka unaofuata ukaja na na majibu...
Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.