Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikali ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali yanayofanywa ili kubadili mtazamo wa vijana ambao ni nguvu ya taifa ikiwemo kuanzisha somo la ubinadamu,
Somo hili lifundishe utu, maadili, uzalendo...
Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu.
Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali.
Hoja za Kushiriki
1...
Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa.
Wenye siri nzito za ajira mpya ni lini zitatangazwa tudokezeni.
Thank you
Kwema Wakuu!
Natahadharisha!
Ukiona jambo nalizungumzuia ujue tayari nimeshalipima. Lina uzito.
Utani na mzahamzaha unaoendelea kwenye nchi yetu unaunda falsafa na mtazamo mpya juu ya kizazi kijacho katika taifa letu.
Kujidharau
Kujidunisha na kujiona sisi ni taifa la hivyo.
Watu wetu ni...
Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio ndani, wape 10% zao.
Vigogo wa chama na serikali ndio wamehodhi biashara zote kubwa kubwa, na...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.
Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana.
ASANTENI
Kwa muda sasa, China imekuwa ikiendeleza nguvu mpya bora za uzalishaji na kuvutia vyombo vya habari vya nchi nyingi za Afrika. Nguvu mpya bora za uzalishaji zinamaanisha uzalishaji wa kisasa unaoongozwa na ubunifu, ukiepuka njia za jadi za ukuaji wa uchumi, na wenye sifa za teknolojia ya juu...
Inadaiwa kuwa Jose Mourinho ameamua kurejea katika Maisha ya kufundisha soka kwa kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa Fenerbahce ya Uturuki.
Kocha huyo anatarajiwa kuchukua nafasi ya Ismail Kartal ikiwa na maana itakuwa ni ajira yake ya 11 kwenye ukocha.
Timu hiyo imemaiza msimu...
Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea hapa nchin, mabeki wavivu na wachovu kama Bacca, Mwamnyeto, Che Malone, Job aisee kama hamtakuwa na...
NAITAMANI TANZANIA MPYA
Ni zaidi ya miaka 60 sasa tangu Tanzania ipate uhuru kutoka kwa mkoloni mwingereza. Hali zote za kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na maisha ya kijamii zimebadilika kwa kiasi kikubwa sana. Kuna mabadiliko mengi mpaka sasa ambayo serikali katika awamu tofauti tofauti...
Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta.
Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L.
Ukijaza...
Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya.
Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua wengi tunanunua TV moja ila ina matumizi mengi kama vile kuangalizia movies, kuunganisha na ving'amuzi...
Zao la tumbaku ni miongoni mwa mazao ya biashara ambayo kwa kiasi kikubwa iliaminika kwa miaka mingi kuwa na mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Hili sio jambo la kufichika kutokana na ukweli kuwa maeneo mengi ambayo watu huzalisha tumbaku, wengi wameamini kuwa ukuaji wao kiuchumi...
KURASA 1: UTANGULIZI
Maono ya Serikali hivi karibuni yameonyesha ni jinsi gani imepania kufanya mapinduzi ya sekta ya nishati hapa nchini, rejea maagizo ya viongozi wetu wa juu hasa Mheshimiwa Rais
Chanzo: Mwananchi
Pia, Rais Samia hakuishia hapo alitoa agizo kwa mheshimiwa Waziri Dkt. Seleman...
Kuanzia mwaka 2025 hadi 2030, Tanzania imekuwa shuhuda wa mabadiliko makubwa na mafanikio katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hapa chini ni muhtasari wa story changes ambazo zimejitokeza katika kipindi hicho:
1. Uchumi Imara na Kuchochea Maendeleo: Tanzania imechukua hatua kubwa katika...
Dira ya Tanzania Tuitakayo: Kukumbatia Mustakabali
Tanzania inapokaribia enzi mpya, ni muhimu kuweka dira inayotupeleka kwenye mustakabali wa ustawi na endelevu. "Tanzania Tuitakayo" inajumuisha matarajio ya pamoja na mikakati inayoweza kutekelezeka ambayo inaweza kuubadilisha taifa letu katika...
UTAPELI MPYA ULIOZUKA MITANDAONI
Habari wana Jamii Forums
Kumekuwa na njia mpya ya utapeli mitandaoni ambayo inawaumiza wa Tanzania wengi na pia kuwaondolea uaminifu baadhi yao kwa jamii inayowazunguka. Utapeli umekuwa ukihusisha mtandao wakijamii wa Facebook kama daraja la kufanikisha hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.