Karibu kwenye mfululizo mwingine wa maandishi juu ya Hip Hop Kulture, This time tunafanya reflection ya miaka 20 ya Mr Blue ndani ya Rap Game.
For the past Two weeks, Mr Blue katokea sana kwenye Timeline yangu pale Youtube na pia Instagram. Being a Philosopher I always know when am asked by the...