Ikishangaa ya mafuta utaona ya Gesi asilia.
Tayari kashaigawa gesi yetu yote ya Kusini. Nna Makubaliano ni kwamba Tanzania itapewa Mgawo wa asilimia 3 tu ye Gesi yote itakayo kwa matumizi ya ndani.
Huyu Mzanzibari Samia Suluhu anataka aache ametufilisi kabla hajamaliza miezi yake ilobaki...