figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ikishangaa ya mafuta utaona ya Gesi asilia.
Tayari kashaigawa gesi yetu yote ya Kusini. Nna Makubaliano ni kwamba Tanzania itapewa Mgawo wa asilimia 3 tu ye Gesi yote itakayo kwa matumizi ya ndani.
Huyu Mzanzibari Samia Suluhu anataka aache ametufilisi kabla hajamaliza miezi yake ilobaki.
Tanzania imegundua akiba kubwa ya gesi asilia katika pwani ya Lindi na Mtwara
Mradi wa TLNG unalenga kubadilisha rasilimali hizi za gesi za pwani kuwa gesi asilia iliyoyeyushwa (LNG) kwa ajili ya kuuza nje, na kutoa fursa ya kimkakati kwa Tanzania kuingia katika masoko ya kimataifa ya LNG.
Zaidi ya mauzo ya nje, mradi wa TLNG pia unajumuisha vifungu vya kusambaza sehemu ya gesi kwenye soko la ndani. Hii itasaidia uzalishaji wa umeme, matumizi ya viwandani, upatikanaji wa nishati ya majumbani, na magari ya gesi asilia iliyoshinikizwa (CNG), kusaidia kukidhi mahitaji ya nishati yanayoongezeka nchini na kupunguza utegemezi wa mafuta yanayoagizwa kutoka nje.
Mazungumzo ndo yapo ukingoni. Makampuni yanayotaka kijimilikisha Gesi ya Tanzania ni;
MY TAKE;
Watanzania tumekwisha

- Equinor (kutoka Norway): Inayopatikana katika Kitalu cha 2.
- Shell (kutoka Uingereza na Uholanzi): Inayosimamia Vitalu vya 1 na 4.
- ExxonMobil (kutoka Marekani): Mshirika wa Equinor.
- Pavilion Energy na Medco Energi: Washirika wanaofanya kazi na Shell.
- TPDC: Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania linalowakilisha maslahi ya taifa na wamekubali tupewe 03%🤣🤣🤣
MY TAKE;
Watanzania tumekwisha