Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero - Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga mkoani Tabora ambao umegharimu shilingi milioni 840.8
Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo, ambao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 09, 2025 anatarajiwa kuwa Mkoani Kilimanjaro ambapo pamoja na mengine, anatarajiwa kuwa Nyumba ya Mungu, Wilayani Same kuzindua mradi wa maji Same-Mwanga-Korogwe.
Mradi wa maji Same-Mwanga-Korogwe ulisanifiwa...
Rais Samia akizindua Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe Machi 9, 2025
https://www.youtube.com/live/ZwUZMNQWlbc?si=stvFOddgPgJ_0AHW
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni ukombozi kwa wananchi katika Wilaya za...
Kukamilika kwa mradi wa maji Same-Mwanga -Korogwe na kuimarika kwa huduma ya maji katika wilaya ya Mwanga kwamtua kada wa Chadema ndg. Sadi Hemed na kumrudisha chama cha mapinduzi (CCM) na kumpa ushindi wa Uenyekiti wa kitongoji cha lwami katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wilayani...
Leo nipo mwanga nimepita jirani na uwanja wa Msuya nimeona shamrashamra SIO za kawaida, mji mdogo lakini Leo kumekua Hadi na foleni, wageni ñaona NI wengi sana.
Nachojiulza nimekutana na vibinti vidogo Sana Yani kama wanafunzi hivi wametolewa Wilaya za jirani Moshi na same kuja kwenye MKESHA...
Rais wa Jamuhuri wa muunngano wa Tanzania Mh Dkt Samia Suluhu Hassani anatarajiwa kuzindua mradi wa maji wa Mwanga,Same,Korogwe wenye thamani ya zaidi ya Bilion 300 utakao wanufaisha wakazi wa wilaya ya Mwanga na Same Mkoani Kilimanjaro
Akizungumza March 4,2025 Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Bi...
Naibu waziri wa Maji, Kundo Andrew Mathew amefanya ziara ya kikazi katika halmashauri ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa katika ziara hiyo Naibu Waziri wa Maji pia ameweka jiwe la msingi katika mradi wa maji Mkangale na amekagua mradi wa maji mtaa wa Isunta akiridhishwa na utekelezaji wake...
Kamati ya Siasa Mkoa wa Kilimanjaro imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi MUWSA
Mradi huo unaogharimu Tshs; Milioni 787 unalenga kuhudumia wananchi zaidi ya 10,500 walioko kwenye Kata ya Marangu Mashariki...
Wakuu,
Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea.
Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani.
Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
Wananchi kutoka Vijiji 112 katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria ambao kwa sasa utekelezaji wake unaendelea kwa Awamu ya kwanza.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Gagi Lala wakati akizungumza...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
Kufatia kuwepo kwa kero ya muda mrefu ya maji katika wilaya ya Biharamulo moani Kagera, serikali imetenga Zaidi ya shilingi Bilioni 70 kwaajili ya kuanza ujenzi wa maji kutok ziwa Victoria.
Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa wakati alipokuwa akiongea...
Machozi ya furaha yanawatoka wana Butiama baada ya kuletewa mradi wa maji wa Mugango-Butiama, sasa hivi wamesahau kutumia punda kwenda umbali mrefu kutafuta maji. Rais Samia amekuwa mkombozi wao.
Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, ambapo Serikali ilitekeleza Mradi wa Maji ambao tuliambiwa thamani yake ni Sh. Milioni 500 kisha ukafanya kazi kwa muda wa miezi mitatu tu, tunaomba kujua hatma ya mradi huu na huduma ya maji kwenye kijiji chetu.
Mwaka 2016...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso, ametoa siku saba kwa wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji 28 wilayani Muheza mkoani Tanga, kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo kutokana na kuonekana kusuasua licha ya uwepo wa fedha za mradi huo.
Waziri Aweso amebainisha haya baada ya kufika...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Sekta ya Maji kuhakikisha wananchi wa kata ya Mswaha, wilaya ya Korogwe mkoani Tanga wananufaika vya kutosha na chanzo cha maji cha Mswaha Darajani kilichopo katika kata yao.
Waziri Aweso amesema alipotembelea chanzo cha mradi huo...
Ikumbukwe kwamba Tarehe 14 mwezi October 2024 katika Maadhimisho ya Kilele cha Mwenge wa Uhuru Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumzia hali ya huduma ya Maji Mwanza aliweka bayana kuwa mwezi huu wa Octoba mradi mkubwa wa Maji wa chanzo cha Ziwa Victoria...
WAKAZI DAR ES SALAAM YA KUSINI WAPEWA UHAKIKA MAJISAFI IFIKAPO DISEMBA 2024.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (Mb) ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa usambazaji maji Dar es Salaam ya kusini maarufu kama Bangulo na kuahidi kukamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.