mradi wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    Tabora: Dkt. Philip Mpango aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Bukene Nzega, unaogharimu shilingi bilioni 29.3

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ya ukosefu maji waliyopata wananchi kwa muda mrefu. Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi...
  2. A

    KERO Usimamizi mbovu mradi wa maji kijiji cha Uhindi kata ya Uyowa, Kaliua

    Mimi ni mkazi wa kijiji cha Uhindi, kata ya Uyowa, wilaya ya Kaliua, mkoa wa Tabora, kero yangu ni kuwa hapa kijijini kuna mradi wa maji kwa ufadhili wa Benki ya Dunia. Mradi huu kwa sasa umetelekezwa pesa ambayo waliachiwa kwa ajili ya kuendeleza mradi imeliwa na hakuna udhibiti ukusanyaji...
  3. Roving Journalist

    Rais Dkt. Samia ampa miezi mitatu Waziri Aweso ahakikishe maji yametoka Mtyangimbole Songea - Ruvuma

    https://www.youtube.com/live/Dx_r5P6246s Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa Maji Mtyangimbole Songea Mkoani Ruvuma, leo tarehe 24 Septemba, 2024, amempa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuhakikisha...
  4. Stephano Mgendanyi

    Ngara: Mwenge wa Uhuru Wazindua Mradi wa Maji wa Tsh. Bilioni 3

    Mwenge wa Uhuru Wilayani Ngara umetembelea na kuzindua Mradi wa Maji Wenye Thamani ya shilingi Bilioni tatu chini ya Ufadhilii wa Benki ya Dunia kupitia LADP (Local Area Development Program) inayosimamiwa na NELSAP (Nile Equatorial Lake Subsidiary Action Program). Mhandisi Simon Ndyamukama...
  5. Ojuolegbha

    Serikali yatoa Tsh bilioni 145.8 mradi wa maji

    Wizara ya Maji imepanga kutumia Sh. bilioni 145.77 kujenga mradi wa maji katika miji 28, ili kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wakazi wa Manispaa ya Songea, Ruvuma. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alikagua ujenzi wa tenki la maji linalojengwa katika mtaa wa Mahenge, akipongeza...
  6. A

    KERO Mradi wa maji Kata ya Ruzinga haujakamilika tokea 2012, maji hutoka pale kunapokuwa na ziara ya kiongozi

    Kata ya Ruzinga wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera kuna mradi wa maji haujawahi kamilika toka mwaka 2012 hadi watu washachoka kulalamika maana ukijaribu kufuatilia taarifa zinasema mradi ushakamilika ila kiuhalisia maji yanayotoka hayatoshi. Mara nyingi huwa yanatoka tu pale kama kuna kiongozi...
  7. Pfizer

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  8. Roving Journalist

    Mkuu wa Mkoa Tabora azindua Mradi wa Maji uliogharimu Tsh. Milioni 975

    Tarehe 04/05/2024 Mkuu Wa Mkoa wa Tabora, Paulo Matiko Chacha amefanya ziara katika Wilaya Uyui Jimbo la Igalula katika Kata za Tura, Kigwa na Igalula. Akiwa katika ziara hiyo ameambatana na Mkuu Wilaya ya Uyui, Zakaria Mwansasu pamoja na Mbunge wa Jimbo la Igalula, Venant Daud protas, katika...
  9. J

    Mradi wa maji Same - Mwanga 90% ya utekelezaji, aweso awasha pump kusukuma maji kwenda tenki la mwisho

    MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo ya kutibu maji imekamilika...
  10. A

    KERO Changamoto ya maji Ihungo-Bugashani mjini Bukoba

    Mradi wa maji Ihungo-Bugashani-Nyakato-Burugo - Kahororo manispaa ya Bukoba. Mamlaka ya maji Buwasa wameshindwa kutekeleza ni miaka mitatu sasa wananchi wa maeneo haya wameshindwa kupata huduma hii ya maji. Sambamba na mkuu wa mkoa Kagera kuendeleza jitihada za kuutangaza mkoa na kuwahimiza...
  11. Huihui2

    Petition: Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Victoria Uitwe Edward Lowassa Channel

    Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu. Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states) kupinga Mkataba wa Waingereza na Egypt wa mwaka 1929 kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Kata 11 Jimbo la Ushetu Kunufaika na Mradi wa Maji wa Ziwa Victoria

    MBUNGE CHEREHANI - KATA 11 JIMBO LA USHETU KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA Mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa Fedha nyingi kwaajili ya kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo...
  13. Roving Journalist

    Katavi: Mkandarasi akwamisha mradi wa maji wa Miji 28

    Wakati Serikali inaendelea kutekeleza miradi ya maji hapa nchini ili wananchi waweze kusogezewa huduma ya maji hasa kwa kumtua mama ndoo kichwani, imeeleza kuwa bado baadhi ya wakandarasi wanashindwa kutekeleza miradi hiyi kwa wakati ambapo mradi wa maji unaotekelezwa katika bwawa la Milala...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mradi wa Maji wa Milioni 550 Watekelezwa Usinge Jimbo la Kaliua

    "Kaka yangu Aloyce Kwezi amekuwa akinielekeza tatizo la maji hapa Usinge. Sasa Kwezi asipoongea itakuwaje. Mnatakiwa kumshukuru na kumpongeza sana, Mbunge wenu ni katika wabunge walio makini sana ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehakikisha amesemea Usinge mpate mradi wa maji"...
  15. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Mahundi: Zaidi ya Watu 233,000 Kunufaika na Mradi wa Maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama

    NAIBU WAZIRI ENG. MAHUNDI: ZAIDI YA WATU 233,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA MUGANGO- KIABAKARI-BUTIAMA. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama waweze kukamilisha utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo ili wananchi...
  16. Jidu La Mabambasi

    DOKEZO Mradi Maji Arusha-mfano wa Wachina kufanya ovyo, wakati makandarasi wazawa wananyanyapaliwa

    Mradi wa Maji huko Arusha unaelezea madudu yote yanayofanywa na serikali na wachina wanaowapendelea sana kuwapa tenda. Isingekuwa mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni, ingekuwa kama waswahili wanavyosema, "imeenda hiyo" Siyo siri, wachina kwa rushwa ili kupata kazi, hawajambo. Watendaji...
  17. JimmyKB

    DOKEZO Upigaji mradi wa maji Miwale Pangani Kibaha mkoa wa Pwani

    Habari wana JF? Niende moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na upigaji katika mradi wa maji mtaa wa Miwale kata ya Pangani wilaya ya Kibaha Mjini mkoa wa Pwani ambapo miaka kama minne iliyopita kulifanyika mradi wa maji uliogharimu milioni miatano lakini mradi huo ulikufa pasipo wananchi wa...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba umeleta ajira na kuchangia chachu ya ukuaji wa uchumi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati imeleta ajira na kuchangia kasi na chachu ya ukuaji wa uchumi hususan katika Jiji la Dodoma. Ameyasema...
  19. B

    Muhambwe wampa 5 Rais Samia mradi wa maji wa milioni 650, mbunge atoa kompyuta na mashine ya photocopy

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kufanya mikutano ya hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo leo alikuwa Kata ya Misezero Kijiji cha Kumkugwa. Wananchi wa Kumkugwa wameonyesha kufurahia mno na kumshukuru Rais Samia...
  20. Stephano Mgendanyi

    Milioni 750 Kukamilisha Mradi wa Maji Bwagamoyo Kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Edward Ole Lekaita ametembelea Kisima cha Maji Bwagamoyo ili kukagua maendeleo ya mradi huo wa Mradi wa Maji wenye thamani ya Shilingi Milioni 750,000,000 Ziara ya Mhe. Lekaita ililenga kukagua Ujenzi wa Miradi ya Maji, kuzungumza na kusikiliza kero za wananchi na...
Back
Top Bottom