Miezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo Mkubwa.
Tunapenda kufahamishwa kama mradi unaendelea au umekwama kuendelea.
Au Kuna changamoto ambazo...
July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
Nimepita Jana kuelekea Mwanza na kujionea hali halisi ilivyo baada ya kufika eneo la mradi nimekuta walinzi tu wakilinda vifaa vya wachina hata hivyo baadhi ya watu waliopo kwenye mradi huo wameniambia mradi umekwama kwa kuwa serikali haijatoa hela yoyote.
Ndugu zangu ukweli usemwe hii...
Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR.
Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo.
Anyways karibuni sana 🇹🇿.
1. Wenzetu sijui huwaza nn? Yaan mradi wa SGR uendeshwe na TRC? Kutoboa Sana miezi 6 kila kitu kitakua Mochwari.
2. Tafuteni mwekezaji mwenye uzoefu wa hizo kazi. Gautrain South Africa zaidi miaka 14 inapeta. Hakuna siasa mule
Hongera Watanzania na serikali kwa kutumia kodi na kuwezesha mradi kuanza kufanya kazi kwa kipande cha Dar-Moro, Dar-Dodoma safari iliyoanza leo.
Napenda kuwashauri watanzania wenzangu huu mradi ni kwa kodi zetu tuwe na uchungu nao tusikubali kufumbia macho uhujumu wowote utakaopangwa maana...
Hayawi Hayawi yamekua sasa!
SGR imeanza kazi na inaenda kufunguka zaidi.
wapo baadhi ya Watanzania walishirikiana na majirani zetu kuhujumu mradi huu muhimu.
Wahujumu hawa walitumia mbinu zote ila imeshindikana.
bado wanaendelea na mbinu mbalimbali yaani kuonesha hata maeneo strategic...
NIRC, TRC, BENKI YA DUNIA KUANZA UJENZI MABWAWA SITA KUKABILIANA NA MAFURIKO NA KULINDA MRADI WA SGR
NA NIRC, Dodoma
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi...
Ni vema ukayafahamu haya mapema kwa faida yako
Bali wadau wengi wanajiuliza kwamba ni kitu gani ambacho Serikali ya Tanzania inaweza kufanya, maana unaambiwa ni afadhali hata mtoto mwenye Polio waweza kumpa Magongo akatembea mwenyewe
Kampuni sita za Kitanzania ni miongoni mwa kampuni kadhaa...
MAGEUZI MAKUBWA KWENYE SGR.
Wananchi wamefarijika kwa kiasi kikubwa sana ambapo treni hii ya kisasa inakwenda kurahisisha Usafiri kutoka Dar-Morogoro- Dodoma.
Hakika Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanikisha kwa kiasi kikubwa sana.
#Kaziiendelee
Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR.
Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao.
Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
Serikali ya Tanzania hadi sasa imetumia jumla ya Shilingi Trilioni 10.69 kwenye Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) kama sehemu ya miradi mikubwa ya nchi.
Akitoa ombi kwa Bunge kuunga mkono jumla ya Shilingi Bilioni 532.8 kwa Ofisi ya Waziri Mkuu na Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha wa 2024/25...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imefanya ziara ya kukagua Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) na kujionea majaribio ya treni hiyo ambayo yalianza hivi karibuni.
Ziara hiyo imeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Vuma Augustine (Mbunge wa Kasuru vijijini), ambapo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli nchini (TRC), Masanja Kadogosa amesema kuwa Serikali itanatarajia kuweka milango wazi kwa wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwa kuingiza vichwa vya treini na mabehewa yao.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini...
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.
Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya...
Kama ilivyo kawaida dhuruma na uonevu unaendelea kufanywa na Makandarasi Mkuu wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi dhidi ya Wafanyakazi wa Mradi.
Leo tarehe 25 mwezi wa 11 baadhi wetu sisi Wafanyakazi tumeanza kuchoshwa na ubabaishaji wa Mkandarasi unaoendelea.
Hapo kuna Makundi mawili ya watu...
CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 Trilioni mradi wa SGR
Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli llikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa...
Sababu zinazotajwa kusuasua SGR kipande cha Dsm - Moro.
1. Pesa zinapigwa. Kampuni ya Yepi Merkezi inakiri kupokea pesa kwa kusuasua.
2. Hujuma/Rushwa - kutoka kwa wamiliki wa mabasi na malori wakiwemo viongozi wa serikali.
3. Udhaifu wa Rais kusimamia miradi ya nchi.
4...
Tuendelee kuliat...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.