Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo...
Hakuna Hasara Katika Mradi wa SGR
"Bei zilizopo ni tofuti sana na bei zilizotumika Mwaka 2017 wakati tunaanza ujenzi wa Mradi wa SGR, zaidi ya asilimia 65 Mradi wa SGR unatumia chuma na Bei ya chuma imepanda Duniani hivyo hakuna hasara yoyote katika Mradi wa SGR zaidi ya kuokoa Fedha" - Mhe...
Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli
Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani
=========
Na Waandishi Wetu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
Jamani wanaohusika naomba msimamie kwa ukaribu sana mradi wa SGR unaoanza Itingi mpaka Tura, mfatilie malipo ya Wafanyakazi kutolipwa mishahara yao na kunyimwa haki kibao za kikazi
Kubwa zaidi na linaloumiza zaidi ukweli tunapigwa sana SGR hakuna ubora wowote
Kwa ufupi SGR inalipuliwa na ubora...
Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika.
Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
Kundi la Wananchi katika eneo la Fela wilayani Misungwi mkoani Mwanza unapojengwa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Mwanza hadi Isaka mkoani Shinyanga, limesimamisha msafara wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu huku wakitoa kilio cha kunyimwa ajira katika mradi huo.
Wananchi hao...
FAIDA ZA MRADI WA SGR UKIKAMILIKA
1. Kuongeza soko la ndani na kuimarisha Shilingi ya Tanzania (economy localization) hii ni kutokana treni kutumia umeme utakaozalishwa nchini, kama tungetumia mafuta diesel ambayo ni lazima kuagiza ingeongeza gharama kubwa kwa uendeshaji na matumizi ya akiba ya...
Hiyo SGR haikamiliki tu jamani? Hadi leo ni propaganda tu zimebaki mara 2019 itakua tayari,mara 2020 mwezi wa 5, mara August 2021, mara November 2021, mara january 2021,mara august 2021, mara November 2021
Kinara wa hizo propaganda ni majaliwa
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye...
Meneja Mradi wa Treni ya SGR Mhandisi Machibya Masanja, amesema kuwa Treni ya umeme itakapoanza haitatumia umeme huu wa kawaida unaokatika mara kwa mara, bali inajengewa mtandao wa umeme unaojitegemea.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Novemba 30, 2021, wakati wa mahojiano maalum na East Africa TV, na...
Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania – TRC Masanja Kadogosa akutana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Meja Jenerali Charles Karamba na kujadili kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa - SGR Isaka – Kigali, mazungumzo hayo yamefanyika katika ofisi ya Mkurugenzi Mkuu TRC...
Wakati wa hayati JPM tuliambiwa mradi utakamilika Nov 2019. Hapo tukapata uhakika wa kutembea na train Dar Moro kwa nusu saa.
Baadae mambo yakabuma tukaambiwa mwaka 2020 mapema tu mradi utakamilika.
Baadae tena baada ya JPM kufariki tukaambiwa April 2021. Lakini mpaka sasa ni kimya kizito...
Shirika la Reli Tanzania – TRC linatarajia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya kisasa - SGR kipande cha Makutupora – Tabora (KM 371) na Tabora – Isaka (KM 162), hivi karibuni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Ujenzi wa SGR...
Habari zenu wakuu,
Katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli. Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo Dsm.
Tuna miradi mikubwa ya kitaifa. Hii ikikamilika itasaidia wananchi wote kijamaa. Miradi kama SGR, bwawa la umeme, kiwanda cha dawa ni miradi ya kimkakati zaidi kuliko kujenga mashule vijijini. Hao wavijini waitwe kwenye harambe wafyatue matofali wajenge madarasa. Labda wachangiwe mabati, sementi...
Imeelezwa na Wasimamizi wa Ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha kuanzia Morogoro kwenda Makutupora kuwa saini iliyowekwa na hayati rais Magufuli alipotembelea ujenzi wa mahandaki ya reli hiyo mnamo tarehe 29/06/2020 imegeuka kuwa kivutio cha utalii!
Maelfu ya watu hufika kila siku kwenye...
Asasi ya Kiraia ya Okoa Mombasa ikishirikiana na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii (TISA) wameiburuza Serikali ya Kenya mahakamani kudai kuwekwa wazi kwa mikataba ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mombasa - Nairobi ya Standard Gauge Railway (SGR).
Mashirika hayo mawili yanadai serikali iweke wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.