Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema.
Raia 425,000 wanapiga Kura katika Taifa hilo lenye watu 1,512,450. Obiang anachuana na Buenaventura...
Kwema?
Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church.
Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
Wakuu salaam,
Watu wengi tumekuwa tukihangaika kupata matibabu ya magonjwa mbalimbali yanayotusumbua kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote. Tunatembelea hospitali mbalimbali, kupata vipimo na kupewa dawa (medications) tofautitofauti lakini mwisho wa siku hatupati nafuu.
Lakini kwa upande...
Wadau salama,
Nina swali kidogo hapa nahitaji msaada! Je, kulala katika zulia/carpet kwa muda mrefu kunaweza kuwa na madhara huko mbeleni ya kiafya?
Nawasilisha
Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake.
Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho.
Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
"Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters )
Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna Wasemaji Wawili wa Yanga SC ni Wachawi ( Walozi ) wa Kutukuka tafadhali kuwa makini na haya maneno...
Habari wanamichezo,
Juzi niliangalia goli alilofunga Mayele, kasi yake alvyopokea mpira, utulivu wake, akili yake ya kufunga, control yake hakika niseme asante Engineer Hersi kwa kutuletea huyu mtu. Wanayanga tulimkosa huyu mtu kwa muda mrefu sana tangu Yanga ya Donald Ngoma nadhani hatujapata...
Poleni kwa tozo,
Mwenye akili timamu kabisa hawezi fikiri KUWA Mama kaanzisha Tozo kupitia waziri wa fedha Ili kuwaudhi watanzania Ili waje wamchague tena MWAKA 2025.
Pia kwamba Mwigulu nchemba kaanzisha Tozo Ili wananchi wamchukie Halafu ategemee eti MWAKA 2025 achukue fomu ya urais Ili...
Ahlanbik:
Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika ,the so called "legend" ,Jonas Mkude.
Ni muda mrefu sasa mchezaji huyo mlevi...
Mchekeshaji wa muda mrefu Sobogani Zabron maarufu Erick Kisauti amefariki Alfajiri ya leo akiwa nyumbani Kwa Ndugu zake Kibaha Mkoani Pwani.
Mchekeshaji mwenzie, Masai Nyota aliyewahi kufanya nae kazi mbalimbali za sanaa ambaye amesema ni taarifa za ukweli na amezipokea asubuhi ya leo na kwamba...
Aishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine.
Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua balaa.
=============
Russian President Vladimir Putin accused Washington on Tuesday of drawing out...
PSRS ndio chombo kilichopewa dhamana ya kusimamia michakato ya ajira lakini kama sio kuelemewa basi itakua wana changamoto ambayo ni vyema waiweke wazi,mchakato wa ajira siku hizi umeanza kuchukua mida mrefu sana.mfano ajira zile za MDA's na LGA,s walizotangaza tangu mwezi wa tano mpaka leo hata...
Hawa Wacongo labda na wao ni walinda legacy. Diamond yuko Kongo na mbanga zake nyingine kabisa lakini Wacongo wao akili yao inamuwaza Magu tuu.
Kweli huu ndio uongozi unaoacha alama. Wapinzani na sisi tukifanikiwa kukamata madaraka tujitahidi kuacha Kumbukumbu Kama hizi.
Kama kuna Rais nimependezwa naye toka Kenya ni ndugu yangu Uhuru Kenyatta.
Huyu jamaa ni simple, hayuko comlicated kma wanasiasa wengi.
Yuko down to earth.
Huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake zenye vichekesho vingi.
Na si kwamba ni mtumwepesi, ana mali nyingi tu za kutosha.
Lakini...
KINANA ATAJA SABABU CCM KUKAA MADARAKANI MUDA MREFU AKIZUNGUMZA NA WANA CCM KATAVI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdulrhman Kinana ametaja sababu tatu za kwanini Chama hicho kimekaa madarakani kwa muda mrefu na moja ya sababu ni uwepo wa demokrasia ya uhuru watu kujieleza na...
Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko, kama katibu wa kamati ya maandalizi, nilihakikisha natoa ushirikiano kwa wajumbe ili tukio lifane.
Kweli bwana tukio lilipendeza, watu walikula na kunywa, watu waliburudika wakasahau shida zao kwa muda.
Miongoni mwa walio hudhuria ni...
Wafanyakazi wanaokaa kwenye viti kwa muda mrefu ofisini, wapo hatarini kuvimba miguu kutokana na kubana mishipa ya damu.
Wameshauriwa kujenga tabia ya kusimama na kufanya mazoezi ya kunyoosha mwili ili kujiepusha kubana mishipa hiyo.
Mtaalamu wa Udhibiti wa Magonjwa wa Wizara ya Afya, Dk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.